Victoria Kimani ameamua kujipamba na urembo wa Pwani kwa kujichora na
tattoo za Henna.
Na muimbaji huyo mrembo wa Kenya aliyetua Dar es
Salaam wiki hii kung’arisha uzinduzi wa kipindi cha The Playlist cha
Times FM, ameamua kuyaonjesha macho ya followers wake wa Instagram jinsi
urembo huo ulivyomtoa chicha, mashalaah.. Safisha macho kwa uumbaji huu
wa Mola..
Victoria na Henna za
↧