Tangazo la Mafunzo ya Ujasiliamali Ambayo Yatatolewa Bure Kabisa...... Zaidi...
Taasisi ya RafikiElimu FOUNDATION kupitia Mradi wa Elimu Ya Ujasiriamali Mijini & Vijijini, inatangaza nafasi za MAFUNZO YA UJASIRIAMALI. Mafunzo yatakayo tolewa ni pamoja...
View ArticleUNYAMA: Mtuhumiwa Aua Polisi Kwa Panga Dodoma
Polisi mkoani Dodoma wanamsaka mkazi wa Chang’ombe Juu, Tisi Malya kwa kumuua askari polisi kwa kumcharanga mapanga wakati akijaribu kumuokoa mtoto wa miezi minane aliyekuwa anataka kuuawa na mtu...
View ArticleHii ni taarifa ya idadi ya watu ambao hufariki kila siku kwa Saratani Tanzania
Wataalamu wa afya wamethibitisha kuwa saratani ni janga la kitaifa huku takwimu zaidi ya vifo vitokanavyo na ugonjwa huo zikionyesha Watanzania wengi hupoteza maisha kila siku. Mkurugenzi wa Taasisi...
View ArticleVideo inayoonyesha Rais Mugabe akianguka kwenye ngazi
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe tumesikia mara nyingi akiwa na migogoro na mataifa ya Ulaya, Marekani ishu kubwa ni kitendo cha Mugabe kuonekana akiendelea kung’ang’ania madaraka kwa kipindi kirefu....
View ArticleBenki ya I&M Yazindua Huduma ya kwanza ya mfumo wa kielekroniki ya masaa 24...
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya I&M, Anurag Doreha (kushoto) akiongea na wadau wa benki hiyo hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa tawi na mfumo mpya wa kielektroniki uliovumbuliwa na Smart Banking...
View ArticleSerikali Yaapa Kunusuru Manyanyaso ya Machinga Nchini
SERIKALI imeingilia kati manyanyaso wanayopata wafanyabiashara ndogo na mamalishe nchini, kwa kuamua kuunda kikosi cha kiofisi, kitakachohusisha wajasiriamali hao kwa lengo la kukubaliana juu ya...
View ArticleWizara ya Elimu yazidi kuzibana shule binafsi
WIZARA ya Elimu na Ufundi imesema itazifutia usajili shule zote za serikali au binafsi, zitakazobainika kukaidi agizo la wizara hiyo lililotolewa wiki iliyopita la kuacha kuweka viwango maalumu na...
View ArticleMzizi wa fitna kwa madiwani wa CHADEMA Waliofukuzwa Jijini Mwanza Kukatwa
JOPO la wanasheria lililoundwa kutoa tafsiri ya sheria katika sakata la kufukuzwa kwa madiwani watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Halmashauri ya Ilemela, mkoani Mwanza,...
View ArticleWalimu wanaokaimu Utendaji kata kukiona
OFISI ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imeagiza kupewa majina ya walimu watakaobainika kukaimu nafasi za maofisa utendaji kata ifanyie kazi suala hilo. Naibu Waziri,...
View ArticleKamati ya Bunge Yataka walimu Wote Nchini Wasajiliwe
KAMATI ya Bunge ya Huduma za Jamii imetaka walimu nchini kusajiliwa ikiwa ni pamoja na wanaofanya kazi katika shule binafsi ili kuwatambua na kuweka kiwango cha msingi cha kutoa huduma kote nchini....
View ArticleMtuhumiwa Aliyeua Polisi kwa Panga naye Auawa na Wananchi.....Polisi...
Mtuhumiwa Tissi Mallya ambaye alitoroka baada ya kumuua askari Polisi G.7168 Koplo Joseph Swai, ameuawa usiku wa kuamkia jana na wananchi alipokuwa amejificha akiwa na panga lenye damu, lililotumika...
View ArticleShindalo la Tutoke na Serengeti limebakiza wiki tatu .....Kazi kwako mdau,...
Dar es Salaam, Tanzania: 04th Februari, 2015. Kampuni ya pili kwa ukubwa katika utengenezaji wa pombe hapa nchini imeeleza kwamba kampeni yake inayoendelea ya “Tutoke na Serengeti” inaelekea ukingoni....
View ArticleWabunge "WAPANGA FOLENI" Kuzungumza na Lowassa Bungeni
Sina uhakika kama Mbunge wa Monduli,Edward Lowassa anaweza kupata nafasi ya kupumzika awapo bungeni... Ni nadra na mara nyingi haiwezi kutokea kumuona Lowassa akiwa peke yake...
View ArticleMuswada wa Mahakama ya Kadhi Waondolewa Bungeni
Muswada wa Sheria ya kuanzishwa kwa Mahakama ya Kadhi Tanzania Bara hautajadiliwa katika mkutano wa Bunge unaoendelea mjini Dodoma baada ya serikali kuuondoa kwa maandalizi zaidi. Mwanasheria Mkuu...
View ArticleMrema Ageuka Mbogo Bungeni kwa wanaodai ana UKIMWI......Asema yeye ni mzima...
Mbunge wa Vunjo, Augustine Mrema (TLP) ametoa shutuma zake bungeni Dodoma akimtuhumu mbunge James Mbatia kuwa amekuwa akimpakazia mambo mabaya kwa wapiga kura wa jimbo lake kuwa ana UKIMWI. Mrema...
View ArticleRay C Ajitolea Kumsaidia Daz Baba Kuacha Madawa ya Kulevya
Staa wa muziki wa kizazi kipya, Rehema Chalamila ‘Ray C’ ameapa kumsaidia mwanamuziki mwenzake David Jacob ‘Daz Baba’ anayedaiwa kujihusisha na utumiaji wa madawa ya kulevya. Chanzo cha kuaminika...
View ArticleHussein Machozi Anaswa na Mchepuko wa Kizungu
Baada ya mwanamuziki Hussein Machozi kudaiwa kumtelekeza mkewe aliyemuoa nchini Kenya, hivi karibuni picha yake imenaswa akiwa kimahaba na mchepuko wa Kizungu. Picha hiyo inamuonesha Hussein akiwa...
View ArticleAunt Ezekiel: Mimba yangu Sio ya Waziri Nyalandu
Mkali wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson amevunja ukimya na kupinga vikali tetesi za ujauzito wake kuhusishwa na mmoja wa mawaziri wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akibainisha kuwa jambo hilo...
View ArticleBunge lapokea taarifa kuhusu migogoro ya Ardhi.....Kamati teule yapendekeza...
Bunge limetakiwa kutoa azimio la kusitisha zoezi la utoaji wa vibali kwa raia wa kigeni kuishi, kufuga na kumiliki ardhi pamoja na kufuta vibali vyote vilivyopo na kuwataka raia wa kigeni wenye vibali...
View ArticleKafulila Akwama Kufufua Sakata la ESCROW Bungeni.......Asema Bunge...
Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) ameshindwa kuwasilisha hoja binafsi, kuitaka Serikali iwasilishe bungeni ripoti ya Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru), kuhusu...
View Article