Polisi mkoani Dodoma wanamsaka mkazi wa Chang’ombe Juu, Tisi Malya kwa kumuua askari polisi kwa kumcharanga mapanga wakati akijaribu kumuokoa mtoto wa miezi minane aliyekuwa anataka kuuawa na mtu huyo.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma, David Misime amemtaja askari aliyeuawa majira ya saa 5:00 asubuhi kuwa ni Joseph Swai.
Akisimulia mkasa huo kwa waandishi wa habari, Kamanda
↧