Wataalamu wa afya wamethibitisha kuwa
saratani ni janga la kitaifa huku takwimu zaidi ya vifo vitokanavyo na
ugonjwa huo zikionyesha Watanzania wengi hupoteza maisha kila siku.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Ocean Road Dk. Diwani Msemo
wakati wa maazimisho ya siku ya saratani duniani alisema wengi
wanaopata ugonjwa huo hufa kwa sababu wanakosa tiba, uhaba wa dawa na
vifaatiba na pia
↧