Dar es Salaam, Tanzania: 04th Februari, 2015. Kampuni ya pili kwa ukubwa katika utengenezaji wa pombe hapa nchini imeeleza kwamba kampeni yake inayoendelea ya “Tutoke na Serengeti” inaelekea ukingoni.
Kwa kigezo hicho, kampuni hiyo imejipanga kumaliza kampeni hiyo kwa kishindo na njia ya kipekee kwa kuhakikisha kwamba washindi wengi zaidi wanapata nafasi ya kujishindia zawadi mbalimbali
↧