Mtuhumiwa Tissi Mallya ambaye alitoroka baada ya kumuua askari Polisi G.7168 Koplo Joseph Swai, ameuawa usiku wa kuamkia jana na wananchi alipokuwa amejificha akiwa na panga lenye damu, lililotumika kwenye mauaji hayo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David Misime alisema hayo jana katika mkutano wake na waandishi wa habari, alisema mauaji hayo yalitokea juzi asubuhi katika eneo la
↧