Bunge limetakiwa kutoa azimio la kusitisha zoezi la utoaji wa vibali kwa
raia wa kigeni kuishi, kufuga na kumiliki ardhi pamoja na kufuta vibali
vyote vilivyopo na kuwataka raia wa kigeni wenye vibali hivyo kuondoka
nchini mara moja.
Akiwasilisha
Bungeni taarifa ya kamati teule iliyoundwa kuchunguza na kuchambua sera
mbalimbali zinazohusu masuala ya ardhi, kilimo, mifugo, maji na
↧