OFISI ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imeagiza kupewa majina ya walimu watakaobainika kukaimu nafasi za maofisa utendaji kata ifanyie kazi suala hilo.
Naibu Waziri, Aggrey Mwanri aliliambia Bunge jana kwamba hakuna mwalimu anayeruhusiwa kutoka kwenye kazi yake ya kufundisha na kwenda kukaimu ofisi hiyo.
Badala yake, alisema wanaotumiwa kwa ajili ya
↧