WIZARA ya Elimu na Ufundi imesema itazifutia usajili shule zote za serikali au binafsi, zitakazobainika kukaidi agizo la wizara hiyo lililotolewa wiki iliyopita la kuacha kuweka viwango maalumu na tofauti za ufaulu kutoka kidato kimoja kwenda kingine.
Naibu Waziri wa wizara hiyo, Anne Kilango alisema wizara hiyo inaendelea na uchunguzi na kufungia shule zote hata kama zinamilikiwa na
↧