Staa wa muziki wa kizazi kipya, Rehema Chalamila ‘Ray C’ ameapa
kumsaidia mwanamuziki mwenzake David Jacob ‘Daz Baba’ anayedaiwa
kujihusisha na utumiaji wa madawa ya kulevya.
Chanzo cha
kuaminika kimeeleza kuwa, Ray C amekuwa akiumizwa na hali aliyonayo Daz
Baba na amefanya kila awezavyo hadi kuongea naye ili aanze kutumia dozi
ya Methadone ambayo wengi huipata katika Hospitali ya
↧