Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Mrema Ageuka Mbogo Bungeni kwa wanaodai ana UKIMWI......Asema yeye ni mzima na lazima mwaka huu Agombee tena Ubunge

$
0
0
Mbunge wa Vunjo, Augustine Mrema (TLP) ametoa shutuma zake bungeni Dodoma akimtuhumu mbunge James Mbatia kuwa amekuwa akimpakazia mambo mabaya kwa wapiga kura wa jimbo lake kuwa ana UKIMWI.    Mrema amesema kuwa mbunge huyo amekuwa akipita jimboni kwake na kusema kuwa wasimchague mbunge huyo kwa kuwa ana UKIMWI na hana maisha marefu hapa duniani.    Ametoa kauli hiyo bungeni Dodoma na

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles