DC Mteule Atakiwa Kukomosha Mauaji Wilayani Nzega
NA TIGANYA VINCENT, TABORA.MKUU wa Mkoa wa Tabora Dkt. Philemon Sengati amemwagiza Mkuu wa Wilaya ya Nzega Kamishina Msaidizi wa Polisi (ACP) Advera Bulimba kuhakikisha anakomesha vitendo vya mauaji...
View ArticleMrisho Gambo Achukua fomu za kugombea ubunge katika jimbo la Arusha Mjini
Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, leo amechukua fomu za kugombea ubunge katika jimbo la Arusha Mjini, kupitia chama cha Mapinduzi
View ArticleNaibu Spika Tulia achukua fomu kuwania ubunge Mbeya Mjini Kupitia CCM
Naibu Spika Dkt.Tulia Ackson amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Mbeya mjini kupitia tiketi ya CCMDkt.Tulia amechukua fomu hiyo katika ofisi za CCM Wilaya akisindikizwa na Mume wake...
View ArticleNaibu Waziri wa Ardhi Dkt.Angelina Mabula naye ajitosa rasmi kugombea ubunge...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Ilemela Dkt.Angelina Mabula leo amechukua fomu ya kutetea kiti chake cha ubunge katika ofisi ya Chama cha CCM wilaya ya Ilemela
View ArticlePICHA: Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Yahamia Dodoma
Murugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk. Wilson Mahera (kushoto) akizungumza na watumishi wa NEC ambao wamehamia Ofisi mpya za Makao Makuu ya Ofisi hiyo yaliyopo Njedengwa Jijini Dodoma jana....
View ArticleAngela Kairuki Achukua Fomu Ya Ubunge Same Magharibi
Waziri wa Uwekezaji, Angellah Jasmine KAIRUKI akichukua Fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo la Same Magharibi kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi leo Julai 14 , 2020. Anayemkabidhi fomu hiyo ni Katibu wa...
View ArticleAskofu Gwajima Achukua Fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo la Kawe Kupitia CCM
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi. Jimbo hilo lilikuwa linaongozwa na Halima Mdee...
View ArticleMtoto wa Lowassa Achukua Fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo la Monduli
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Monduli, Langael Akyoo, leo Jumanne July 14,2020 amemkabidhi Fredrick Lowassa fomu ya kuomba ridhaa ya Chama hicho ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Monduli....
View ArticleGodbless Lema 'Atamba' Kushinda Ubunge Arusha Mjini....."Natamani Wawe 30 ili...
Mbunge wa Arusha Mjini anayemaliza muda wake, Godbless Lema amesema sheria ingeruhusu, angetaka wagombea wote wa CCM Arusha ashindane nao. “Nime sikia sikia majina ya wagombea Ubunge Arusha Mjini...
View ArticleWaziri wa Kilimo Japhet Hasunga Achukua Fomu Ya Kugombea Ubunge Jimbo La...
Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga amechukua Fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo la Vwawa Mkoani Songwe kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi leo Julai 14, 2020. Anayemkabidhi fomu hiyo ni Katibu wa CCM Wilaya...
View ArticleWaziri wa Elimu Prof Joyce Ndalichako Achukua Fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Joyce Ndalichako, leo Julai 14, 2020, amechukua fomu ya kuomba ridhaa chama chake ili kiweze kumteua, aweze kugombea Ubunge katika jimbo la Kasulu Mjini...
View ArticleAliyekuwa Mlinzi wa zamani wa Baba wa Taifa ambaye pia alikuwa mlinzi mkuu wa...
Aliyekuwa Mlinzi wa zamani wa Baba wa Taifa ambaye pia alikuwa mlinzi mkuu wa Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, Aloyce Tendewa amechukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Kilombero kwa tiketi ya CCM
View ArticleWaziri wa TAMISEMI Selemani Jafo Achukua Fomu Ya Kugombea Ubunge Jimbo la...
Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo, leo Julai 14, 2020, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake ili kimteue kwa ajili ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kisarawe.
View ArticleAtiwa Mbaroni Kwa tuhuma ya kusafirisha shehena ya madawa ya binadamu,...
Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma linamshikilia Fredrick Anaclet Maxmilian (38) mkazi wa Mbagala Jijini Dar es Salaam kwa tuhuma ya kusafirisha shehena ya madawa ya binadamu, sambuli 149 baadhi yakiwa na...
View ArticleAliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri Achukua Fomu ya Kugombea...
Mbunge wa zamani wa jimbo la Siha,na mkuu wa mkoa mstaafu wa Tabora Aggrey Mwanri amechukua fomu ya ubunge wa jimbo la Siha Mkoani Kilimanjaro kupitia chama cha Mapinduzi - CCM
View ArticleUsichelewe .....Pakua sasa hivi App Ya Mpekuzi Ikiwa na Maboresho Mapya. Ipo...
Tumefanya Maboresho Kwenye App Yetu ya Mpekuzi Ili Kukuwezesha Kupata Habari zetu Haraka Usikubali kupitwa na taarifa muhimu zinazoendelea hapa nchini na Duniani kwa Ujumla . Tumejipanga vizuri sana...
View ArticlePeter Lijualikali Ajitosa Tena Jimbo la Kilombero Kupitia CCM
Aliyekuwa Mbunge wa Kilombero kupitia CHADEMA na baadaye kuhamia CCM, Peter Lijualikali amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa (na CCM) kutetea nafasi hiyo.
View ArticleMwanaharakati Cyprian Musiba Ajitosa Kugombea Ubunge jimbo la 'Kangi Lugola'
Mwanaharakati Cyprian Musiba amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea ubunge katika Jimbo la Mwibara, Mkoa wa Mara. Jimbo hilo linaongozwa na Mbunge Kangi Lugola kupitia...
View ArticleAliyekuwa Mbunge wa CHADEMA David Silinde Ajitosa Kugombea Ubunge Jimbo la...
Aliyekuwa mbunge wa Momba kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), David Silinde amechukua fomu ya kugombea ubunge Tunduma Mkoa wa Songwe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Silinde amechukua...
View ArticleWagombea 19 Kilosa Na 20 Mikumi Wa CCM Wajitokeza Kuchukua Fomu Akiwemo...
Jumla ya wanachama 19 wa Chama Cha Mapinduzi katika jimbo la Kilosa wamejitokeza kuchukua fomu za kugombea Ubunge katika jimbo hilo ikiwa ni siku ya kwanza tu tangu zoezi la uchukuaji fomu kupitia CCM...
View Article