$ 0 0 Aliyekuwa Mlinzi wa zamani wa Baba wa Taifa ambaye pia alikuwa mlinzi mkuu wa Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, Aloyce Tendewa amechukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Kilombero kwa tiketi ya CCM