$ 0 0 Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo, leo Julai 14, 2020, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake ili kimteue kwa ajili ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kisarawe.