$ 0 0 Aliyekuwa Mbunge wa Kilombero kupitia CHADEMA na baadaye kuhamia CCM, Peter Lijualikali amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa (na CCM) kutetea nafasi hiyo.