$ 0 0 Mwanaharakati Cyprian Musiba amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea ubunge katika Jimbo la Mwibara, Mkoa wa Mara. Jimbo hilo linaongozwa na Mbunge Kangi Lugola kupitia (CCM).