Maendeleo ya teknolojia ya kidijitali na umuhimu wake kwenye kukuza uchumi...
Duniani kote suala la matumizi ya teknolojia ya kidijitali linakua kwa kasi kubwa sana na kwa kiasi fulani kunachagizwa na matumizi ya intaneti/data kupitia simu za mkononi. Kwa mujibu wa Mkutano wa...
View ArticleWizara Ya Ardhi Yawasilisha Taarifa Ya Vijiji Vyenye Migogoro Maeneo Ya...
Na Munir Shemweta, WANMM DODOMAWizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imewasilisha taarifa ya utekelezaji maagizo ya kutoondolewa vijiji 920 kati ya 975 vilivyokuwa katika migogoro maeneo ya...
View ArticleMkutano Wa Baraza La Mawaziri Wa Fedha Nchi Za SADC Kuanza Kesho Dar Es Salaam
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, anatarajiwa kuongoza Mkutano wa Mawaziri wanaohusika na masuala ya Fedha na Uwekezaji wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)...
View ArticleRais Magufuli Aagiza Cosota Kuhamia Wizara Ya Habari Kutoka Wizara Ya Viwanda...
Rais wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amemuagiza Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt. Harison Mwakyembe kuhamishwa kwa chombo kinachosimamia sanaa Tanzania (COSOTA) kutoka Wizara ya...
View ArticleSerikali Yazindua Chanjo Za Kimkakati 13 Za Mifugo, Waziri Mpina Awaweka...
NA MWANDISHI WETU, SINGIDASERIKALI imezindua zoezi la chanjo za kimkakati 13 za mifugo kitaifa huku Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina akionya wadau wote wanaojishughulisha na uzalishaji,...
View ArticleWananchi Mwakata Kahama Wamtuhumu Diwani Mstaafu Kula Fedha Za Bati Za Msaada
Na.Faustine Gimu Galafoni,Kahama Shinyanga.Sakata la bati 1346 za msaada zilizotolewa katika maafa ya mvua ya barafu mwakata mwaka 2015 limezua mjadala baada ya fedha zaidi ya Tsh. milioni 12...
View ArticleNaibu Waziri wa Ardhi Dkt. Mabula Aipongeza Wizara Ya Ardhi Kuwezesha Nchi...
NA. Hassan MabuyeNaibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angeline Mabula ameipongeza Wizara ya ardhi kwa kuwezesha kwa kiasi kikubwa katika mchango wa Tanzania kuingia katika uchumi...
View ArticleKatibu Mkuu Kilimo Akemea Kasi Ndogo Ya Mkandarasi Ujenzi Wa Vihenge NFRA...
Na Munir Shemweta, WANMM DODOMAWizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imewasilisha taarifa ya utekelezaji maagizo ya kutoondolewa vijiji 920 kati ya 975 vilivyokuwa katika migogoro maeneo ya...
View ArticleWahalifu 13 wakamatwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kuhusika na tukio la...
SALVATORY NTANDUWatu 13 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga kwa tuhuma za kuhusika na tukio la Mauaji ya Watu Wanne katika Kiwanda cha Kuchenjulia Dhahabu cha Dakires kilichopo katika...
View ArticleBilione Laizer Awa Kivutio katika Maonyesho ya Biashara ya 44 ya Kitaifa...
Bilionea wa Madini ambaye ni mchimbaji mdogo wa Madini Merelani mkoani Manyara, Saniniu Laizer jana alikuwa kivutio katika Maonyesho ya Biashara ya 44 ya Kitaifa Sabasaba baada ya kufikia katika...
View ArticleWakamatwa Kwa Kuwafundisha Watoto Wadogo Ngono
Na Mwandishi Wetu,TunduruJUMLA ya wazazi 35 kutoka kata ya Nalasi wilayani Tunduru wamekatwa baada ya kukukutwa wakiwafundisha watoto wa kike walio chini ya umri wa miaka 8 mbinu za kuishi na...
View ArticleNchiza SADC Zatakiwa Kupambana Na Ugaidi Na Utasishaji Fedha Haramu
Na Farida Ramadhani, Dar es SalaamNchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) zimeshauriwa kuunganisha nguvu zao kupambana na changamoto ya utakatishaji fedha haramu na ufadhili wa makundi...
View ArticleBinti wa Nelson Mandera Afariki Dunis
Zindzi Mandela, binti ya marehemu shujaa, Nelson Mandela amefariki dunia. Zindzi ambaye amefariki mjini Johannesburg mapema leo Jumatatu, Julai 13 akiwa na miaka 59, alihusika katika vita vya kupigania...
View ArticlePICHA: Rais Magufuli Alipokutana Na Kufanya Mazungumzo Na Waziri Mkuu Mstaafu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa wakati alipomkaribisha nyumbani kwake Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma...
View ArticleAhukumiwa Kunyongwa Kwa Kumuua Mke Wake na Watoto Wawili
Na George Mwigulu,KataviMAHAKAMA Kuu Kanda ya Sumbawanga imemhukumu, Yustine Robart (35) kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuuwa mkewe, Jackilina Lwiche na watoto wake wawili, Frenk...
View ArticleWanawake Watakiwa Kutokubali Kutumiwa na Wanasiasa Kuvuruga Amani
Na Mwandishi Wetu, Dodoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera, Bunge,Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama amewaasa wanawake kutokubali kutumiwa na vyama vya siasa kama...
View ArticleRatiba ya Mchakato wa kuwapata Wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa katibu wa Itikadi na uenezei wa Chama hicho, Humprey Polepole kimetoa utaratibu na ratiba kamili itakayoohusisha mchakato wa uchukuaji fomu kwa wagombea wa...
View ArticleMaswali 15 Yanayoulizwa Mara kwa Mara Kwenye Usaili ( Interviews ) na Namna...
Usaili wa ajira (interviews) husababisha hofu na msongo wa mawazo kwa vijana wengi kabla au baada ya kutoka chumba cha usaili.Tatizo hilo hutokana na hofu inayojenga wakati wa kujibu maswali...
View Article