Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania, China Zaahidi Kuendeleza Ushirikiano, Kukuza Maendeleo

Tanzania na China zimeahidi kuendeleza ushirikiano wa kidiplomasia ili kuhakikisha kuwa nchi hizo zinakuwa na maendeleo endelevu.    Makubaliano hayo yamefanywa na Balozi wa China nchini, Mhe. Wang Ke,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Breaking News: Dkt Hussein Mwinyi Apitishwa na CCM kuwa mgombea wa Urais wa...

Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM  umempitisha Dkt Hussein Mwinyi kuwa mgombea wa Urais wa Zanzibar baada ya kupata kura 129 sawa na asilimia 78.65 akiwashinda Shamsi Vuai Nahodha  na Dk Khalid Salim...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Habari Zilizopo Magazeti ya Leo Jumamosi July 11

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu Mkuu Kilimo Apongeza Taasisi Za Uzalishaji Mbegu Nchini

Wizara ya Kilimo imezitaka taasisi na wakala zinazohusika na kazi ya uzalishaji mbegu bora za mazao kuongeza uzalishaji ili kukidhi mahitaji makubwa ya wakulima nchini.  Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LIVE: Mkutano Mkuu Wa CCM Wa Taifa

LIVE: Mkutano Mkuu Wa CCM Wa Taifa

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu Tawala (DAS) Handeni Afariki Dunia Katika Ajali Mbaya....Watatu...

Aliyekuwa Katibu Tawala (DAS) Boniface Maiga Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga amepoteza maisha katika ajali huku watu watatu wakijeruhiwa akiwemo Mbunge wa Jmbo la Handeni Omary Kigoda ambaye amevunjika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Intaneti kwa njia ya simu inavyochagiza ukuaji wa uchumi jumuishi

Kisaka Msuya, UDBS Hivi karibuni Benki ya Dunia imetangaza kuwa Tanzania imeingia rasmi kwenye uchumi wa kati ikiwa ni miaka mitano kabla ya kufikia ukomo wa muda uliokuwa umewekwa na serikali yaani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mhagama Azindua Mpango Wa Uendelezaji Wa Viwanda Vidogo Na Vya Kati...

NA. MWANDISHI WETUWaziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama amezindua Mpango wa Uendelezaji wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dereva Aliyesababisha Ajali Ya Basi La Prezdar Na Kusababisha Vifo Vya Watu...

NA DENIS MLOWE,IRINGAJESHI la Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani mkoa wa Iringa limefanikiwa kumkamata dereva wa basi la Prezdar Said Abas Said (30) aliyesababisha ajali eneo la mlima Kitonga...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maabara Ya Kiwanda Cha Pareto Tanzania Kuchunguzwa-Kusaya

Serikali imetoa maelekezo kwa kiwanda cha Pareto Tanzania kuhakikisha kinaweka mazingira ya uwazi katika kupima kiwango cha sumu kwenye maua ili wakulima wapate bei nzuri ili kulinda maslahi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING: Magufuli apitishwa kuwa Mgombea Urais 2020 Kupitia CCM

MWENYEKITI wa CCM Taifa Dkt. John Pombe Magufuli amepigiwa kura za ndiyo kwa asilimia 100 na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa chama hicho kupeperisha bendera ya kuwania nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli amteua Mama Samia Suluhu Hassan kuwa Mgombea mwenza Urais 2020

Rais Magufuli amemchagua Samia Suluhu Hassan, kuwa mgombea mweza katika Uchaguzi wa Urais wa Tanzania, Oktoba 2020.  Rais Magufuli amechukua hatua hiyo baada ya kuthibitishwa na wajumbe wa Mkutano Mkuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jinsi Ya Kuandika CV Nzuri Ambayo Itamvutia Mwajiri na Kukufanya Upate KAZI...

WATU wengi nchini wamekosa ajira  kwa sababu ya makosa wanayoyafanya wakati wa kuandika CV zao.Kumbuka,  makampuni  karibia yote yanayotangaza nafasi za kazi hupokea wastani wa maombi 200-500 ya kazi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kanuni bora za ufugaji wa kuku wa kienyeji(kuku Asili)....Soma Hapa Uwe Tajiri

Ufugaji wa kuku wa asili ni nyenzo muhimu katika kupambana na wimbi la umasikini kwa kuongeza kipato cha kaya. Hata hivyo, pamoja na soko la uhakika, bado ufugaji kuku haujaweza kutumika ipasavyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi July 12

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Trump avaa barakoa hadharani kwa mara ya kwanza

Rais Donald Trump wa Marekani hapo jana alivaa barakoa hadharani kwa mara ya kwanza ikiwa ni ishara ya kusalimu amri kwa shinikizo la kumtaka kuwa mfano kwa umma katika wakati janga la virusi vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DPP Awasimimisha Kazi Mawakili Wawili Wa Serikali Simiyu kwa tuhuma za...

Na Stella Kalinga, Simiyu RSMkurugenzi Mkuu wa Mashtaka nchini (DPP),  Bw. Biswalo Mganga amewasimamisha kufanya kazi za mashtaka mawakili wa Serikali mkoani Simiyu, Amani Kirua na Twahab Yahaya kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waganga Wafawidhi Watakiwa Kujenga Uwezo Wa Kujitegemea

Na.WAMJW-DodomaWaganga Wafawidhi wa hospitali wote nchini wametakiwa kujijengea uwezo wa kujitegemea katika kuboresha huduma za afya nchini kwa kuwa wabunifu katika huduma na vyanzo vya mapato ili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watanzania Wekezeni Kwenye Viwanda Vya Mbolea- Katibu Mkuu Kusaya

Wawekezaji wa ndani ya nchi wamehamasishwa kujitokeza kuwekeza katika ujenzi wa viwanda vya mbolea hapa nchini ili kusaidia upatikanaji wa mbolea bora na yenye gharama nafuu kwa wakulima.  Katibu Mkuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uteuzi Mpya Uliofanywa Na Rais Magufuli Leo

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>