TAKUKURU Manyara wamsaka Babu Joha kwa kutumia nyaraka feki kupata kazi...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), mkoa wa Manyara imewaomba watanzania kusaidia kutoa taarifa zitakazosaidia kupatikana kwa Mmiliki wa kampuni ya JACO SERVICES GROUP John Stepheni...
View ArticleMatumizi Ya Tehama Mahakama Yafikia Asilimia 71
Na Magreth Kinabo – MahakamaMwenyekiti wa Kamati ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na Takwimu ya Jaji Mkuu, Mhe. Shaaban Lila amewataka wajumbe wa kamati hiyo kutoa uzoefu wao kuhusu...
View ArticleWaziri Mkuu Majaliwa Ahani Msiba Wa Kifo Cha Mwanasiasa Mkongwe Nchini balozi...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Mwanasiasa Mkongwe nchini, Balozi Job Lusinde, nyumbani kwa marehemu eneo la Kilimani jijini Dodoma, kutoa pole kwa familia,...
View ArticleRais Magufuli Aenda Kutoa Pole Nyumbani Kwa Marehemu Balozi Job Lusinde...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiandika kwenye kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha aliyewahi kuwa Waziri katika Baraza la kwanza la Mawaziri la...
View ArticleWaziri Jafo amuondoa Meneja wa TARURA Arusha kutokana na kutokutoa taarifa za...
Na.Angela Msimbira ARUSHAWaziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa. Mhe. Selemani Jafo amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini Mhandisi Victor Seif...
View ArticleRais Magufuli Afanya Uteuzi Wa Wakili Mkuu wa Serikali na Naibu Wakili Mkuu...
Rais Magufuli amemteua Gabriel Malata kuwa Wakili Mkuu wa Serikali akichukua nafasi ya Julius Mashamba.Kabla ya uteuzi Malata alikuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali.Aidha, Rais Magufuli amemteua...
View ArticleMajina Matatu Ya Wagombea Urais Zanzibar Kujadiliwa Leo
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi jana ilikutana jijini Dodoma na kufanyia kazi taarifa ya Kamati Kuu Maalum ya Visiwani Zanzibar, kupokea taarifa kutoka Sekretarieti ya Halmashauri...
View ArticleWatuhumiwa Wa Bangi mkoani Arusha Wafikishwa Mahakamani
Wakulima wawili wakazi wa Mwandeti jijini Arusha, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya...
View ArticleMfanyakazi Wa Ndani Auawa Baada ya Kuwaua Kwa Mapanga Watoto Wawili wa Bosi Wake
NA MWAMVUA MWINYI, PWANIMFANYAKAZI wa kazi za ndani mwanaume,Yasin Abdala (35), Kitongoji cha Kivungwi Kwazoka ,Kata ya Vigwaza Chalinze,Bagamoyo mkoani Pwani ameuwawa na wananchi wenye hasira kali...
View ArticleWabunge Wawili CCM Wahojiwa TAKUKURU
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Dodoma, imewahoji wabunge wawili wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaomaliza muda wao, Livingstone Lusinde (Mtera) na Peter Serukamba (Kigoma...
View ArticleWaziri Lukuvi Apokea Msaada Wa Compyuta 10 Kutoka Benki Ya Azania
Na Munir Shemweta, WANMM DODOMAWaziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amepokea msaada wa Kompyuta 10 zenye thamani ya milioni 12 kutoka Benki ya Azania.Msaada huo ulipokelewa leo...
View ArticleLIVE: Ufunguzi wa Kikao Cha Halmashauri Kuu ya CCM- Kujadili Mgombea Urais...
LIVE: Ufunguzi wa Kikao Cha Halmashauri Kuu ya CCM- Ukumbi wa White House Dodoma
View ArticleBREAKING: Majina Matatu Yaliyopitishwa na Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM...
Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM umepitisha majina matatu ya wagombea Urais wa Zanzibar, ambao ni ;1.Dk Khalid Salim Mohamed,2. Dkt Hussein Ali Mwinyi na 3. Shamsi Vuai Nahodha.Wagombea walikuwa 31,...
View ArticleBREAKING: CCM Wamsamehe Na Kufuta Adhabu ya Katibu mstaafu wa CCM Abdulrahman...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemsamehe Katibu Mkuu Mstaafu wa chama hicho Abdulrahman Kinana na kumfutia adhabu ya miezi 18 aliyokuwa akiitumikia.Tangazo hilo limetolewa jijini Dodoma na Mwenyekiti wa...
View ArticleUsichelewe .....Pakua sasa hivi App Ya Mpekuzi Ikiwa na Maboresho Mapya. Ipo...
Tumefanya Maboresho Kwenye App Yetu ya Mpekuzi Ili Kukuwezesha Kupata Habari zetu Haraka Usikubali kupitwa na taarifa muhimu zinazoendelea hapa nchini na Duniani kwa Ujumla . Tumejipanga vizuri sana...
View ArticleMwanasheria Akaro-Simba Richmond Achukua Fomu Ya Kugombea Urais Kupitia CHADEMA
Mwanasheria Akaro-Simba Richmond amechukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania, kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Simba amekabidhiwa fomu hiyo leo Ijumaa tarehe 10 Julai 2020 katika...
View ArticleMgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt Hussein...
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt Hussein Mwinyi amesisitiza ushirikiano na mshikamano ndani ya chama hicho wakati huu wa kuelekea uchaguzi mkuu mwezi oktoba mwaka...
View ArticleMkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Kuwa Mgombea Wa Urais wa Jamhuri Ya...
Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM umempitisha Dkt John Magufuli kuwa mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwa ndiye mwanachama pekee aliyejitokeza kuchukua fomu.Endelea Kuwa Nasi...
View Article