Rais Magufuli Afanya Uteuzi Wa Wakili Mkuu wa Serikali na Naibu Wakili Mkuu...
Rais Magufuli amemteua Gabriel Malata kuwa Wakili Mkuu wa Serikali akichukua nafasi ya Julius Mashamba.Kabla ya uteuzi Malata alikuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali.Aidha, Rais Magufuli amemteua...
View ArticleMfanyakazi Wa Ndani Auawa Baada ya Kuwaua Kwa Mapanga Watoto Wawili wa Bosi Wake
NA MWAMVUA MWINYI, PWANIMFANYAKAZI wa kazi za ndani mwanaume,Yasin Abdala (35), Kitongoji cha Kivungwi Kwazoka ,Kata ya Vigwaza Chalinze,Bagamoyo mkoani Pwani ameuwawa na wananchi wenye hasira kali...
View ArticleWaziri Jafo amuondoa Meneja wa TARURA Arusha kutokana na kutokutoa taarifa za...
Na.Angela Msimbira ARUSHAWaziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa. Mhe. Selemani Jafo amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini Mhandisi Victor Seif...
View ArticleMajina Matatu Ya Wagombea Urais Zanzibar Kujadiliwa Leo
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi jana ilikutana jijini Dodoma na kufanyia kazi taarifa ya Kamati Kuu Maalum ya Visiwani Zanzibar, kupokea taarifa kutoka Sekretarieti ya Halmashauri...
View ArticleWatuhumiwa Wa Bangi mkoani Arusha Wafikishwa Mahakamani
Wakulima wawili wakazi wa Mwandeti jijini Arusha, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya...
View ArticleWabunge Wawili CCM Wahojiwa TAKUKURU
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Dodoma, imewahoji wabunge wawili wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaomaliza muda wao, Livingstone Lusinde (Mtera) na Peter Serukamba (Kigoma...
View ArticleUsichelewe .....Pakua sasa hivi App Ya Mpekuzi Ikiwa na Maboresho Mapya. Ipo...
Tumefanya Maboresho Kwenye App Yetu ya Mpekuzi Ili Kukuwezesha Kupata Habari zetu Haraka Usikubali kupitwa na taarifa muhimu zinazoendelea hapa nchini na Duniani kwa Ujumla . Tumejipanga vizuri sana...
View ArticleLIVE: Ufunguzi wa Kikao Cha Halmashauri Kuu ya CCM- Kujadili Mgombea Urais...
LIVE: Ufunguzi wa Kikao Cha Halmashauri Kuu ya CCM- Ukumbi wa White House Dodoma
View ArticleBREAKING: Majina Matatu Yaliyopitishwa na Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM...
Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM umepitisha majina matatu ya wagombea Urais wa Zanzibar, ambao ni ;1.Dk Khalid Salim Mohamed,2. Dkt Hussein Ali Mwinyi na 3. Shamsi Vuai Nahodha.Wagombea walikuwa 31,...
View ArticleWaziri Lukuvi Apokea Msaada Wa Compyuta 10 Kutoka Benki Ya Azania
Na Munir Shemweta, WANMM DODOMAWaziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amepokea msaada wa Kompyuta 10 zenye thamani ya milioni 12 kutoka Benki ya Azania.Msaada huo ulipokelewa leo...
View ArticleBREAKING: CCM Wamsamehe Na Kufuta Adhabu ya Katibu mstaafu wa CCM Abdulrahman...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemsamehe Katibu Mkuu Mstaafu wa chama hicho Abdulrahman Kinana na kumfutia adhabu ya miezi 18 aliyokuwa akiitumikia.Tangazo hilo limetolewa jijini Dodoma na Mwenyekiti wa...
View ArticleMwanasheria Akaro-Simba Richmond Achukua Fomu Ya Kugombea Urais Kupitia CHADEMA
Mwanasheria Akaro-Simba Richmond amechukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania, kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Simba amekabidhiwa fomu hiyo leo Ijumaa tarehe 10 Julai 2020 katika...
View ArticleBreaking News: Dkt Hussein Mwinyi Apitishwa na CCM kuwa mgombea wa Urais wa...
Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM umempitisha Dkt Hussein Mwinyi kuwa mgombea wa Urais wa Zanzibar baada ya kupata kura 129 sawa na asilimia 78.65 akiwashinda Shamsi Vuai Nahodha na Dk Khalid Salim...
View ArticleMgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt Hussein...
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt Hussein Mwinyi amesisitiza ushirikiano na mshikamano ndani ya chama hicho wakati huu wa kuelekea uchaguzi mkuu mwezi oktoba mwaka...
View ArticleMkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Kuwa Mgombea Wa Urais wa Jamhuri Ya...
Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM umempitisha Dkt John Magufuli kuwa mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwa ndiye mwanachama pekee aliyejitokeza kuchukua fomu.Endelea Kuwa Nasi...
View ArticleWatiania Ubunge Wa CCM Mkoa Wa Iringa Waonywa Kuzingatia Sheria Na Kanuni Za...
NA FREDY MGUNDA,IRINGA.KAMATI ya siasa ya chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Iringa imewata watiania na wanachama kuheshimu kanuni na sheria za uchaguzi zilizowekwa ndani ya chama ili kuepuka panga...
View ArticleWaziri Mkuu wa Ivory Coast afariki dunia ghafla
Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Amadou Gon Coulibaly, amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia leo Alhamisi akiwa na umri wa miaka 61.Shirika la habari la IRIB limeripoti habari hiyo na kumnukuu Rais...
View ArticleSerikali Yaanzisha Kanda Mpya Ya Wakala Wa Taifa Wa Hifadhi Ya Chakula (Nfra)...
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-SongweSerikali imetangaza kuanzisha Kanda mpya ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula-NFRA katika mkoa wa Songwe itakayohudumia mikoa ya Songwe na Mbeya.Akizungumza...
View Article