Aliyewahi kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari Ahamia CCM
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amejiunga Chama cha Mapinduzi (CCM).Akizungumza katika mkutano wa kupokelewa na viongozi...
View ArticleLazaro Nyalandu achukua fomu ya Urais 2020 Kupitia CHADEMA
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kati, Lazaro Nyalandu amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 kwa tiketi ya CHADEMANyalandu amekabidhiwa fomu...
View ArticleMaonesho Ya Nanenane Kitaifa Mwaka 2020 Kufanyika Mkoani Simiyu
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-SongweSerikali imetangaza kuanzia tarehe 01 hadi 08 Agosti, 2020 kutafanyika maadhimisho ya sikukuu ya wakulima NANENANE ambapo kitaifa yatafanyika katika viwanja vya...
View ArticleTutafufua Vyuo Na Vituo Vya Utafiti Wa Kilimo- Waziri Mkuu
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli itahakikisha kwamba vyuo na vituo vyote vya utafiti wa kilimo nchini vinafufuliwa, hivyo...
View ArticleMfumuko wa Bei Mwezi Juni Waendelea kuwa Asilimia 3.2
Na Mwandishi Wetu- MAELEZO Mfumuko wa bei wa Taifa kwa mwezi Juni 2020 umeendelea kuwa asilimia 3.2 kama ilivyokuwa mwezi Mei, 2020. Akizungumza leo Julai 8, 2020 Jijini Dodoma, Kaimu Mkurugenzi...
View ArticleWizara Ya Mifugo Na Uvuvi Yadhamiria Kufikia Malengo Ya Kisekta Katika Uchumi...
Na. Edward KondelaWizara ya Mifugo na Uvuvi inaendeleza jitihada za kuhakikisha inafikia malengo ya kisekta baada ya Tanzania kuorodhesha na Benki ya Dunia hivi karibuni kuwa moja ya nchi zilizoingia...
View ArticleShilole Atangaza Kuachana na Mume Wake Uchebe Baada Kupigwa na Kuumizwa
Msanii wa muziki wa Bongo fleva na Mjasirimali hapa nchini Zuwena Mohamed maarufu kama ‘Shilole’, amevunja ukimya na kukiri kuwa huwa anapewa kichapo sana na mumewe Ahrafu Sadiki marufu ‘Uchebe’ jambo...
View ArticleMiaka 5 ya Rais Magufuli: Uwekezaji Miradi Sekta ya Viwanda Unaaksi Sera ya...
Na Mwandishi Wetu-MAELEZO Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania(TIC), Geoffrey Mwambe amesema kuwa Miundombinu iliyojengwa na Serikali imewezesha kituo hicho kupiga hatua kubwa na kulete...
View ArticleWakandarasi Wazembe na Wasiozingatia Mikataba wapewa onyo
SALVATORY NTANDUSerikali Wilayani Kahama mkoani Shinyanga imesema itachukua hatua kali za kisheria kwa Baadhi ya Wakandarasi watakaobainika kufanyakazi kwa Uzembe na kutozingatia Mikataba ya kazi...
View ArticleMajengo Ya Hospitali Ya Manispaa Yakamilike Katika Kipindi Husika- RC Tabora
NA TIGANYA VINCENTUONGOZI wa Manispaa ya Tabora umetakiwa kuhakikisha Wakandarasi wanaojenga majengo ya Hospitali ya Wilaya na yale ya Kituo cha Afya Tumbi wanakamilisha kwa ubora unatakiwa na ya...
View ArticleWaziri Kairuki Ahamasisha Kilimo Cha Pamoja Same
Na Dixon Busagaga ,Same.Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji, Angela Kairuki,ameutaka uongozi wa Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro, kuhamasisha wananchi kulima kilimo cha pamoja,hususani...
View ArticleWatiania Ubunge Wa CCM Mkoa Wa Iringa Waonywa Kuzingatia Sheria Na Kanuni Za...
NA FREDY MGUNDA,IRINGA.KAMATI ya siasa ya chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Iringa imewata watiania na wanachama kuheshimu kanuni na sheria za uchaguzi zilizowekwa ndani ya chama ili kuepuka panga...
View ArticleWaziri Mkuu wa Ivory Coast afariki dunia ghafla
Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Amadou Gon Coulibaly, amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia leo Alhamisi akiwa na umri wa miaka 61.Shirika la habari la IRIB limeripoti habari hiyo na kumnukuu Rais...
View ArticleSerikali Yaanzisha Kanda Mpya Ya Wakala Wa Taifa Wa Hifadhi Ya Chakula (Nfra)...
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-SongweSerikali imetangaza kuanzisha Kanda mpya ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula-NFRA katika mkoa wa Songwe itakayohudumia mikoa ya Songwe na Mbeya.Akizungumza...
View ArticleTAKUKURU Manyara wamsaka Babu Joha kwa kutumia nyaraka feki kupata kazi...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), mkoa wa Manyara imewaomba watanzania kusaidia kutoa taarifa zitakazosaidia kupatikana kwa Mmiliki wa kampuni ya JACO SERVICES GROUP John Stepheni...
View ArticleMatumizi Ya Tehama Mahakama Yafikia Asilimia 71
Na Magreth Kinabo – MahakamaMwenyekiti wa Kamati ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na Takwimu ya Jaji Mkuu, Mhe. Shaaban Lila amewataka wajumbe wa kamati hiyo kutoa uzoefu wao kuhusu...
View ArticleWaziri Mkuu Majaliwa Ahani Msiba Wa Kifo Cha Mwanasiasa Mkongwe Nchini balozi...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Mwanasiasa Mkongwe nchini, Balozi Job Lusinde, nyumbani kwa marehemu eneo la Kilimani jijini Dodoma, kutoa pole kwa familia,...
View ArticleRais Magufuli Aenda Kutoa Pole Nyumbani Kwa Marehemu Balozi Job Lusinde...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiandika kwenye kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha aliyewahi kuwa Waziri katika Baraza la kwanza la Mawaziri la...
View Article