Taarifa Kwa Umma: Uteuzi Mpya wa Makatibu Tawala 06 wa Wilaya
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni Mstaafu George Mkuchika kwa mamlaka aliyokasimiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mujibu wa...
View ArticleSerikali Kufuta Ada Ya Usajili Kwa Watoa Huduma Ya Msaada Wa Kisheria Ili...
NA TIGANYA VINCENSERIKALI inafanyia kazi wazo la kufuta ada ya usajili kwa watoa huduma ya watoa msaada wa kisheria na Wasaidizi wa Msaada wa kisheria ili kuhakikisha huduma hiyo inawafikia wananchi...
View ArticleBodi ya Mkonge Kuanzisha Vitalu vya Miche, Kuwawezesha wananchi kupata fursa...
Na. Mwandishi Wetu-MAELEZO Serikali kupitia Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB), kwa kushirikiana na halmashauri mbalimbali nchini ambako zao la mkonge linalimwa imesema itaanzisha vitalu vya zao hilo ili...
View ArticleHakuna Kuhuisha Hati Za Miaka 33 Kwa Wamiliki Wa Ardhi Wasioendeleza Viwanja-...
Na Munir Shemweta, WANMM GEITAWaziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka Makamishna Wasaidizi wa Ardhi katika ofisi za ardhi za mikoa nchini kuhakikisha wamiliki wote wa...
View ArticleNi Marufuku Taasisi Zilizosajiliwa Kutoa Huduma Za Msaada Kisheeria...
NA TIGANYA VINCENTTAASISI zinazotoa huduma za msaada wa kisheria na Wasaidizi wa Msaada wa kisheria zimetakiwa kuhakikisha hazijiingizi katika masuala ya kisiasa ikiwemo kuwapiga kampeni wagombea...
View ArticleWalimu Watatu Watiwa Mbaroni Na TAKUKURU Mkoani Kagera Kwa Kufanya Udanganyifu.
Na Avitus Benedicto Kyaruzi,Kagera.Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoani Kagera inawashikilia walimu watatu wa shule ya Sekondari Kalenge Day iliyopo katika halmashauri ya wilaya ya...
View ArticleTigo na Tecno wazindua Tecno Spark 5 saba saba
Meneja Bidhaa za Intaneti-Tigo Mkumbo Myonga akizungumza na waandishi wa habari ( hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa simu Mpya ya TecnoSpark5 ambapo Mteja atanunua kwa bei ya laki 333,000 na kupata...
View ArticleBashe Aagiza Mbegu Bora Za Mahindi Na Alizeti Ziuzwe Kwa Bei Nafuu Kiteto
Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe jana tarehe ( 06.07.2020 ) ameagiza kuwa mbegu bora za mazao ziuzwe kwa bei nafuu ili wakulima wamudu gharama na kuongeza uzalishaji wa mazao ya kilimo.Alitoa...
View ArticleBashe: Wakulima Jifunzeni Uhifadhi Bora Kuepuka Sumukuvu Kwenye Mazao
Serikali imesema katika kuhakisha tatizo la sumukuvu kwenye mazao ya wakulima linapatiwa ufumbuzi elimu kwa wakulima ni muhimu kutolewa. Kauli hiyo imetolewa leo wilayani Kiteto na Naibu Waziri wa...
View ArticleWizara ya elimu nchini Kenya Yafuta Kalenda ya masomo kwa shule za upili na...
Wizara ya elimu nchini Kenya imefuta Kalenda ya masomo kwa shule za upili na msingi kwa mwaka 2020.Waziri wa elimu nchini Kenya Prof. George Magoha ametangaza kuwa hakutakuwa na mitihani ya kitaifa ya...
View ArticleKada wa CHADEMA Dkt Mayrose Majinge Achukua Fomu Ya Kugombea Urais Kupitia...
Leo Julai 7, 2020, mwanachama wa CHADEMA Dkt Mayrose Majinge, amejitokeza kuchukua fomu ya kuomba uteuzi wa kugombea nafasi ya Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020.Dk. Majinge amekabidhiwa fomu...
View ArticleRC Mbeya, Albert Chalamila Atengua Uamuzi wake Wa Kugombea Ubunge
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila, amesema kuwa hawezi kukiuka maagizo ya Rais Magufuli aliyowataka wateule wake kuridhika na nafasi walizonazo, hivyo ameamua kuendelea kuwatumikia wananchi wake...
View ArticleSerikali Kuimarisha Usafiri Wa Majini-Waziri Mkuu
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema malengo ya Serikali ni kuimarisha usafiri kwenye maziwa yote na bahari ili kuwawezesha Watanzania wafanye biashara na mataifa ya nje.“Malengo yetu ni kuruhusu...
View ArticleFBI Yadai China ni Tishio kwa Marekani.....Ni Baada ya Kuituhumu Kuanza...
MKURUGENZI wa shirika la FBI nchini Marekani amesema kwamba vitendo vya upelelezi na wizi unaotekelezwa na serikali ya China ni tishio la muda mrefu kwa Marekani. Akizungumza katika Taasisi ya Hudson...
View ArticleRais Magufuli Aomboleza Kifo cha Balozi Job Lusinde
Rais Magufuli ameonesha kuguswa na kifo cha aliyekuwa miongoni mwa Mawaziri 11 wa kwanza wa Tanganyika, Balozi Job Lusinde, na kuwapa pole wanafamilia wote, huku akieleza ni kwa namna gani ataukumbuka...
View ArticleNaibu Waziri Mhe.kanyasu Azungumza Na Wanunuzi Wakubwa Wa Malighafi Kutoka...
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Constantine Kanyasu amekutana na kufanya mazungumzo Wanunuzi Wakubwa wenye viwanda wanaonunua malighafi inayozalishwa kutoka katika Shamba la Miti Sao Hill...
View ArticleViongozi wa Mikoa Mitano ya Kichama ya ACT- Wazalendo watoa Tamko la Kumuomba...
Viongozi wa mikoa mitano ya Chama cha ACT Wazalendo, wamemwomba Bernard Membe, waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Tanzania, akubali ombi lao la kujiunga na chama hicho. Viongozi hao ni: Mwenyekiti wa...
View Article