Waziri Lukuvi Ataka Wamiliki Wa Ardhi Wenye Hati Za Miaka 33 Kuzihuisha Ofisi...
Na Munir Shemweta, WANMM MUSOMAWaziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka wamiliki wa ardhi ambao hati zao za ardhi zinaishia miaka 33 kwenda ofisi za ardhi za mikoa...
View ArticleMgumba; Serikali Imetatua Changamoto Jimbo La Morogoro Kusini Mashariki
NAIBU waziri wa Kilimo Omary Mgumba amesema kuwa serikali imefanikiwa kutekeleza miradi mbalimbali maendeleo kwa wananchi katika Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki tofauti na watu baadhi ya watu...
View ArticleWaziri Mkuu: Bandari Ya Karema Ijengwe Usiku Na Mchana
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameiagiza Kampuni ya Xiamen Ongoing Construction Group inayojenga Bandari ya Karema kwa gharama za zaidi ya sh. bilioni 47 ifanye kazi usiku na mchana na kukamilisha...
View ArticleWaziri Mkuu: Tuongezee Bidii Ili Tufikie Uchumi Wa Juu
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka Watazania waendelee kufanya kazi kwa bidii ili nchi iendelee kukua kiuchumi na kufikia uchumi wa juu kwa kuwa tayari imekuwa ya uchumi wa kati.“Kama ni mkulima...
View ArticleJeshi La Polisi Mkoa Wa Mwanza Lafanikiwa Kuzuia Tukio La Ujambazi / Wizi...
Tukio hili limetokea usiku wa tarehe 05.07.2020 majira ya 02:00hrs katika bank ya crdb, tawi la igoma, wilaya ya nyamagana, mkoa wa mwanza, baada ya kundi la wahalifu/majambazi kuvunja kwa nyuma eneo...
View ArticleCCM Yaipongeza Serikali Kwa Kusimamia Uchumi Imara Na Jumuishi Uliopelekea...
Chama Cha Mapinduzi kimeipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Chini ya Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwa usimamizi wa Uchumi imara, madhubuti na jumuishi ambao umewezesha kuingia...
View ArticleMaalim Seif achukua fomu kugombea Urais Zanzibar
Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalengo, Maalim Seif Sharif Hamad leo amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Urais visiwani Zanzibar kupitia chama hicho katika uchaguzi mkuu wa Viongozi utakaofanyika...
View ArticleWaziri Mkuu:Tutaendelea Kudhibiti Matumizi Ya Fedha Za Umma
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli itaendelea kudhibiti matumizi ya fedha za umma ili iweze kuendelea na ujenzi wa miradi ya...
View ArticleVIDEO: Tigo yaongeza tahadhari kwa wateja wanaotembelea Banda lao SabaSaba
USALAMA KWANZA: Jinsi ambavyo #TigoSabasaba inachukua tahadhari mbalimbali uwapo ndani ya banda Ili kujikinga na maambukizi juu ya Covid-19 Tigo imechukua tahadhari mbalimbali ili uwepo katika banda la...
View ArticleMtandao Wa Maji Ruangwa Wamtua ‘wamtua Ndoo Mama Kichwani’
Na Mwandishi Wetu, MAELEZO SERIKALI kupitia Wizara ya Maji imeendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya maji katika maeneo ya mijini na vijijini kupitia Programu ya Maendeleo ya Sekta ya Maji kwa mujibu...
View ArticleRais Magufuli awasimamisha kazi viongozi wa polisi, Afisa Usalama kwa uzembe
Rais Magufuli ameagiza kusimamishwa kazi kwa Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Arumeru na Afisa Usalama wa Wilaya hiyo mkoani Arusha kwa kushindwa kutumiza majukumu yao.Akizungumza wakati wa kuwaapisha...
View ArticleBenard Membe Arudisha Kadi Ya Uanachama CCM
Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya nje ya nchi wa Tanzania,na kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Benard Membe,amerejesha kadi ya uanachama wa Chama hicho.Membe amerejesha kadi hiyo leo Jumatatu tarehe 6...
View ArticleMakamu Wa Rais Mhe. Samia Amuwakilisha Rais Dkt. Magufuli Malawi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera muda mfupi baada ya kusimikwa rasmi kuwa Rais wa Jamhuri...
View ArticleRais wa Kenya Uhuru Kenyatta Alegeza Masharti Ya Kukabiliana Na Corona
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amelegeza kwa kiasi fulani sheria kali zilizokuwa zimewekwa kwa ajili ya kukabiliana na maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 Akilihutubia taifa hilo leo Jumatatu katika Jumba...
View ArticleTCRA Yaifungia Kwanza Tv Kwa Miezi 11
Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekifungia kituo cha Kwanza Online TV kwa muda wa miezi kumi na moja (11) baada ya kusikiliza shauri la ukiukaji wa kanuni za utangazaji...
View ArticleMiradi Ya Maji, Afya Songwe Imepewa Sh. Bilioni 25 - Waziri Mkuu
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli imetoa zaidi ya sh. bilioni 25 mkoani Songwe ili kugharamia miradi ya maji na afya ukiwemo na...
View ArticleNafasi ya kampuni za simu katika kukuza teknolojia Tanzania
Na Mayala Francis, DIT Katika miaka ya hivi karibuni, dunia imeshuhudia maendeleo makubwa kwenye sekta ya teknolojia hasa linapokuja suala la matumizi ya simu. Hakuna ubishi wowote kwamba intaneti kwa...
View Article