TAKUKURU Mkoani Shinyanga Wamtia Mbaroni mfanyabiashara Joseph Tasia akiwa na...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Shinyanga inamshikilia Joseph Jonas Tasia mkazi wa Mwasele Mjini Shinyanga kwa kukutwa na doti 600 za vitenge vyenye nembo ya Chama Cha...
View ArticleMkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro awonya wanaojipanga kufanya...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amewaonya watu wanaotegemea kufanya fujo kipindi cha uchaguzi mkuu na kusema watashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.Akizungumza na maofisa wa Jeshi hilo...
View ArticleViwanja Bei nafuu: Bunju na Mapinga ....Changamkia hii Ofa
Viwanja Bei nafuu: Bunju na Mapinga Kwa Mapinga; viwanja vipo (Mji mpya) karibu na Kimere resort, km 2 kutoka main road (Dar to Bagamoyo Road).Hapa vipo viwanja vya: 15/15 bei million 3,20/20 bei...
View ArticleWamiliki Wa Ardhi Zaidi Ya Laki Tisa Waikosesha Serikali Takriban Bilioni 125
Na Munir Shemweta, WANMM SHINYANGAWaziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema zaidi ya wamiliki wa ardhi laki tisa nchini hawajamilikishwa ardhi na kupatiwa hati na hivyo...
View ArticleWaziri Mkuu Afungua Maonesho Ya 44 Ya Biashara......Asema Serikali Itaendelea...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kuweka mazingira rafiki na wezeshi ili kuviwezesha viwanda vidogo sana, vidogo na vya kati kukua na kufanya kazi kwa tija zaidi.Ametoa kauli hiyo...
View ArticleWaziri Mkuu: Serikali Imefuta Tozo 163 Kuwaondolea Usumbufu Wafanyabiashara
Na Mwandishi Wetu,MAELEZOWAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amesema Serikali kupitia mpango wa maboresho ya mazingira ya biashara nchini (Blue Print) imeweza kufuta tozo 163 kati ya 173 zilizokuwa...
View ArticleWaandishi wa Habari Wanne Wapata Ajali wakiwa kwenye Ziara ya Waziri wa...
Na Issa Mtuwa – WM- KageraWaandishi wa Habari Wanne Nazareth Ndekia wa TBC 1, Salma Mrisho wa Star TV, Emmanuel Ibrahim wa Clouds Tv na Victor Bariety wa Channel Ten wa kituo cha Geita wamepata ajali...
View ArticleSerikali Yawataka Wawekezaji Kuchangamkia Fursa Ya Kujenga Hoteli Zenye Nyota...
SERIKALI imewataka Wawekezaji nchini kuchangamkia fursa ya ujenzi wa Hoteli zenye nyota nne ama tano kutokana na kutokuwepo katika Jiji la DodomaHatua hiyo imekuja kufuatia Serikali kuzitangaza hoteli...
View ArticleUwezo Wa Kusikiliza Mashauri Ya Jinai Wafikia Asilimia 105.06
Na Magreth Kinabo na Innocent Kansha – MahakamaJumla ya mashauri ya jinai 24,698 yalifunguliwa katika ngazi zote za Mahakama nchini nzima isipokuwa Mahakama za Mwanzo kati ya hayo 25,950 yalisikilizwa...
View ArticleTakukuru yawajibu CHADEMA Kuhusu Madai Kwamba Inatumika Kisiasa Baada ya...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imejibu madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuwa inatumika kisiasa, baada ya kuwahoji baadhi ya wabunge wa chama hicho kuhusu tuhuma...
View ArticleTundu Lissu atangaza rasmi kurejea nchini Mwishoni Mwa Mwezi Huu
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu amesema mwishoni mwa mwezi Julai, 2020 atarejea nchini kwa ajili ya kuendelea na shughuli za kisiasa. Amesema, atafanya hivyo ili aweze kuhudhuria mkutano...
View ArticleChama cha UDP Chatangaza Kumuunga Mkono Rais Magufuli Katika Uchaguzi Mkuu wa...
Chama cha United Democratic Party (UDP) kimetangaza rasmi kumuunga mkono mgombea wa Urais kupitia CCM, Dkt. John Magufuli kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020 endapo Chama chake cha CCM kitampitisha...
View ArticleTundu Lissu Achukua Fomu ya Kugombea Urais wa Tanzania
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amechukua fomu ya kugombea urais wa Tanzania, kupitia chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020. Fomu hiyo...
View ArticleMwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba Amsimamisha...
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amemsimamisha Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Zanzibar, Faki Suleiman Khatib kwa alichokidai ni kuimarisha kamati tendaji ya chama...
View ArticleJuhudi Za Serikali Kwa Kushirikiana Na Wafanyakazi Zimechangia Kuwezesha...
Na; Mwandishi Wetu, MorogoroUshirikiano mzuri baina ya Serikali na Wafanyakazi umechangia katika kuifanya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi iliyofikia uchumi wa kati mwaka huu 2020.Hayo yameelezwa na...
View ArticleWaziri Kairuki -serikali Itaboresha Mazingira Ya Uwekezaji
Na.Mwandishi Wetu – Arusha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji,Angellah Kairuki amesema kuwa serikali ya Awamu ya Tano,inaendelea kutengeneza Mazingira mazuri kwaajili ya Uwekezaji ili...
View Article