TCRA Yavipiga Faini Vyombo vya Habari Sita vya Utangazaji kwa kurusha maudhui...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevitoza faini ya Sh milioni 30 vyombo vya habari sita, kwa kukiuka kanuni na maadili ya utangazaji ikiwamo redio ya Clouds FM kuzungumzia supu ya pweza...
View ArticleMajimbo manne ya uchaguzi Zanzibar Yafutwa
Tume ya Uchaguzi Zanzibar imefuta majimbo manne ya uchaguzi Zanzibar na kubakiza majimbo 50 badala ya majimbo 54 yaliokuwepo awali.Jaji Mkuu Mstaafu, Hamid Mahmoud Hamid, Mwenyekiti wa ZEC ametangaza...
View ArticleWanachama na Wafuasi wa Chama Cha ACT-Wazalendo Wamchangia 500,000 Maalim...
Wanachama na Wafuasi wa Chama Cha ACT-Wazalendo wa Micheweni kisiwani Pemba wameamua kumchangia fedha Maalim Seif Sharif Hamad kuwania tena urais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba...
View ArticleWizara ya Elimu yasema tathmini waliyofanya imebaini ni ngumu kuongeza saa 2...
Wizara ya Elimu imetolea ufafanuzi ongezeko la saa 2 za masomo kwa Wanafunzi baada ya Shule zote nchini kufunguliwa ili kufidia muda ambao umepotea kutokana na mlipuko wa CoronaVirusWizara hiyo imesema...
View ArticleTaarifa Kwa Umma: TCRA Yazipiga Faini Ya Mamilioni Kampuni Za Simu Nchini
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa adhabu kwa makampuni ya simu yafuatayo: Airtel Tanzania Plc, MIC Tanzania Plc, Smile Communications Tanzania Ltd, Tanzania Telecommunications Cooperation,...
View ArticleTAKUKURU Yarejesha Zaidi Ya Shilingi Milioni15 Zilizokuwa Zimeliwa Na Wajanja...
SALVATORY NTANDUTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga imefanikiwa kurejesha fedha shilingi milioni 15,056,125 kwa walimu wastaafu na halmashauri ya...
View ArticleWaziri wa Mambo ya Nje Prof. Kabudi ateta na Mjumbe Maalum wa Maziwa Makuu
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIDodoma, 2 Julai 2020Tanzania inaamini katika umoja wa jumuiya ya kimataifa kwenye kutafuta ufumbuzi wa changamoto zinazoikabili dunia ikiwemo mlipuko wa ugonjwa wa Corona....
View ArticleMigodi Lazima Itekeleze Sheria ya Local Content- Biteko
Na. Issa Mtuwa – WM – GeitaWaziri wa Madini amesema yapo mambo mengi yanayozungumzwa na kukubaliana kati ya Serikali na Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGML) hususani ulipaji wa Kodi na utekelezaji wa...
View ArticleTaarifa Kwa Umma Toka Wizara Ya Fedha Kuhusu Tanzania Kuingia Kwenye Kundi La...
SERIKALI ya Tanzania chini ya uongozi mahiri wa Mheshimiwa Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, imeandika historia baada Benki ya Dunia kuitangaza rasmi kuwa nchi yenye uchumi wa kipato cha kati...
View ArticleWaziri Bashungwa: Tanzania Kuingia Uchumi wa Kati Itavuta Wawekezaji Wengi.
Na.Mwandishi Wetu-MAELEZOSerikali imewataka Wananchi kuendelea kupenda bidhaa zinazozalishwa na viwanda vya hapa nchini kwani chanzo cha nchi kufikia uchumi wa kati ni pamoja na wananchi wake...
View ArticleTanzania Kuna Fursa Ya Kubwa Ya Kuleta Mapinduzi Katika Tasnia Ya Mbolea –...
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bwana Gerald Musabila Kusaya kusaya amesema Tanzania ina nafasi yakubwa ya kuleta mapinduzi makubwa katika Sekta ya Kilimo ikiwa kila Mdau kwenye mnyororo wa thamani...
View ArticleWaliowauzia Wafugaji Ng’ombe Wasio Na Sifa Wasakwa
Na. Edward KondelaSerikali imeagiza kutafutwa kwa watu waliohusika kuwauzia kwa njia ya mkopo wafugaji ng’ombe wa maziwa waliozaa tayari na kuwahadaa wafugaji kuwa ng’ombe hao hawana uzao wowote...
View ArticleVijiji Vinavyochipukia Kuwa Miji Kutangazwa Maeneo Ya Mipango Miji
Na Munir Shemweta, WANMM KIGOMAWaziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka Maafisa Mipango Miji nchini kuzisaidia wilaya kuhakikisha maeneo yote ya vijiji yanayochipukia kuwa...
View ArticleTembelea banda la Tigo msimu huu wa Saba Saba 2020
Kampuni ya mawasiliano inayoongoza kwa kutoa huduma za kidigitali nchini, Tigo Tanzania inawakaribisha wadau na wateja wake pamoja na wananchi wote kwa ujumla katika banda lao lililopo viwanja vya...
View ArticleAjali Mbaya ya Lori na Noah Yaua Watano Dodoma
Watu 5 wamefariki na 2 kujeruhiwa baada ya gari dogo aina ya Noah lililokuwa likitokea Morogoro kwenda Dodoma kugongana na lori eneo la kibaigwa jijini Dodoma .Kamanda wa Polisi mkoani Dodoma, Gilles...
View ArticleWaziri Angela Kairuki Awataka TPC Kuzalisha Sukari Ya Viwandani
Na Dixon Busagaga -Kilimanjaro .Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulikia uwekezaji, Angela Kairuki,ameutaka uongozi wa Kiwanda cha Sukari cha TPC, kilichopo Wilaya ya Moshi, mkoani...
View ArticleIndia yanunua ndege za kivita za Urusi
Wizara ya ulinzi ya India imetia saini jana kununua ndege 33 za kijeshi kutoka Urusi na 59 nyingine kuzifanya za kisasa zaidi zenye thamani ya dola bilioni 2.4, huku kukiwa na ongezeko la hali ya wasi...
View ArticleUhusiano Uliopo Kati ya Punyeto na Ukosefu wa Nguvu za Kiume
Ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume, ni tatizo linalo wakabili mamilioni ya wanaume duniani. Zipo sababu nyingi zinazo sababisha tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume....
View ArticleRais Magufuli Afanya Uteuzi wa Wakuu Wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya....Aggrey...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 03 Julai, 2020 amefanya uteuzi wa Wakuu wa Mkoa 2 kama ifuatavyo.Kwanza, Mhe. Rais Magufuli amemteua Dkt. Philemon...
View Article