Waziri Ummy Aridhishwa Na Kasi Ya Ujenzi Wa Hospitali Ya Rufaa Mtwara
Na. WAJMW-MtwaraWaziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu ametembelea ujenzi wa Hospitali mpya ya Rufaa ya Mikoa ya kusini iliyopo mkoani Mtwara na kuridhishwa na...
View ArticleSheria ya Kumiliki Laini MOJA Kwa Kila Mtandao Yaanza Leo
Sheria iliyopitishwa na Bunge hivi karibuni kuzuia kumiliki laini ya simu zaidi ya moja kwa mtandao mmoja wa simu imeanza kutumika leo, Julai 1, 2020.Hata hivyo, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)...
View ArticleCHADEMA Yafungua Pazia Kwa Wagombea wa Urais, Uwakilishi na Udiwani Zanzibar
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema, fomu za kuwania urais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 zitaanza kutolewa kuanzia Julai 4 hadi 19, 2020.Hayo yamesemwa leo Jumatano...
View ArticleRais Magufuli Afanya Mazungumzo Kwa Njia ya Simu na Rais wa Msumbuji, Filipe...
RAIS Magufuli leo amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na Rais wa Msumbuji, Filipe Jasinto Nyusi ambapo viongozi hao wamezungumzia masuala mbalimbali yahusuyo uhusiano na ushirikiano wa Tanzania na...
View ArticleBenki ya Dunia yaiweka Tanzania katika nchi zenye uchumi wa kati
Benki ya Dunia leo imeiweka Tanzania rasmi katika orodha ya nchi za uchumi wa Kipato cha Kati, ikiwa ni miaka mitano kabla ya lengo la Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025.Kupitia Ukurasa wake wa Twitter,...
View ArticleWatanzania Jitokezeni Kuwekeza Katika Sekta Ya Utalii- Kigwangallah
Na. Aron Msigwa – WMU.Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla ametoa wito kwa watanzania wajitokeze kuwekeza katika biashara ya Utalii kwa kuwa masharti ya kuwekeza katika biashara hiyo...
View ArticleWanafamilia watano wakamatwa kwa tuhuma za mauaji Jijini Mbeya
Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linawashikilia watu watano wa familia moja akiwemo mke wa marehemu kwa tuhuma za kumuua, Ally Mazinge (66) mkazi wa Ubaruku wilayani Mbarali.Akizungumza na waandishi wa...
View ArticleMwalimu Atiwa Mbaroni Jijini Mbeya Kwa Wizi wa Milioni 34
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia JOSEPH SHILA [29] Mwalimu Shule ya Msingi Mwakareli na Mkazi wa Mwakareli kwa tuhuma za wizi wa fedha Tshs.Milioni 34,000,000/= mali ya mwalimu mstaafu...
View ArticleNdugu wafukua maiti iliyozikwa miezi 3 Jijini Mbeya....Jeshi la Polisi Latoa...
Ndugu wa Marehemu Tulizo Konga wa Kijiji cha Igumbilo Kata ya Chimala mkoani Mbeya, wamefukua kaburi la ndugu yao mara baada ya kupata kibali kutoka kwa mamlaka za kisheria ili kupata uhakika wa...
View ArticleTaarifa Kwa Umma Kutoka Mamlaka ya Mawasiliano -TCRA:Ufafanuzi wa...
1.0 UTANGULIZI Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (Usajili wa Laini za Simu) za mwaka 2020, yaani “The Electronic and Postal Communications (SIM Card Registration) Regulations, 2020”,...
View ArticleSerikali Yafanikiwa Kuokoa Shilingi Tirioni 11.4
Na. Dennis Buyekwa- OSG Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali imefanikiwa kuokoa kiasi cha shilingi Tirioni 11.4 baada ya kushinda mashauri mbalimbali...
View ArticleWaziri Wa Fedha Dr. Mpango Amtaka Mkandarasi Hospitali Ya Wilaya Ya Buhigwe -...
Na. Josephine Majula na Peter Haule, WFM, KigomaWaziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isdor Mpango, ameuagiza uongozi wa Mkoa wa Kigoma kumsimamia ipasavyo mkandarasi anayejenga Hospitali ya Wilaya...
View ArticleRais wa Urus Vladimir Putin ashinda kura ya maoni; atabakia madarakani hadi 2036
Rais wa Urus Vladimir Putin ameshinda kura ya maoni ambayo itamuwezesha kubakia madarakani hadi 2036Putin mwenye umri wa miaka 67, amekuwa madarakani kama rais na pia waziri mkuu kwa miongo...
View ArticleWaziri Lukuvi Awashukia Viongozi Wapora Ardhi
Na Munir Shemweta, WANMM KATAVIWaziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amekerwa na tabia ya baadhi ya viongozi kuhusika kupora ardhi ya wananchi na kueleza kuwa muarobaini wa...
View ArticleTAKUKURU wilaya ya Kiteto yasaidia kurejesha Mahindi ya Kijiji.
Na John Walter-ManyaraTaasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa wilaya ya Kiteto mkoa wa Manyara ,imefanikiwa kurejesha mahindi gunia 45 katika kijiji cha Loltepes.Mkuu wa TAKUKURU wilaya ya Kiteto...
View ArticleTaarifa Kwa Umma Kutoka Mamlaka ya Mawasiliano -TCRA:Ufafanuzi wa...
1.0 UTANGULIZI Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (Usajili wa Laini za Simu) za mwaka 2020, yaani “The Electronic and Postal Communications (SIM Card Registration) Regulations, 2020”,...
View ArticleMsemaji wa Serikali atoa Siri 10 zilizopelekea Tanzania kuingia uchumi wa kati
Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi ametaja siri 10 zilizopelekea Tanzania kuingia katika uchumi wa kati miaka mitano kabla ya lengoAmesema Tanzania imekua miongoni mwa nchi 50 Duniani, nchi...
View ArticleGari nne zagongana na kusababisha ajali Pwani
Gari nne yakiwemo malori mawili ya mafuta yamegongana na kusababisha ajali katika eneo la Mlandizi mkoani Pwani usiku wa kuamkia leo Julai 2.Ajali hiyo imetokea majira ya saa 5 Usiku wa jana Julai...
View ArticleJinsi Ya Kuondoa Kitambi Ndani Ya Siku Kumi Na Nne Kwa Kutumia Supu Ya...
Ipo idadi kubwa duniani ya watu wanao kabiliwa na tatizo la kuwa na kitambi, wanawake kwa wanaume.Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitaalamu, kuwa na kitambi ni lugha ya...
View Article