Rais Magufuli Arejesha Fomu za Kugombea Urais Kupitia CCM....Wanachama Zaidi...
Jumla ya wanachama Milioni 1,023, 911 wa chama cha Mapinduzi, CCM wamejitokeza kumdhamini Mwenyekiti wao Rais Magufuli katika fomu za kuwania kupitishwa na chama hicho kugombea nafasi ya Urais kwenye...
View ArticleMaswali 15 Yanayoulizwa Mara kwa Mara Kwenye Usaili ( Interviews ) na Namna...
Usaili wa ajira (interviews) husababisha hofu na msongo wa mawazo kwa vijana wengi kabla au baada ya kutoka chumba cha usaili.Tatizo hilo hutokana na hofu inayojenga wakati wa kujibu maswali...
View ArticleWaziri Kigwangalla Azungumza Na Balozi Wa China, India Na Umoja Wa Ulaya...
Na. Aron Msigwa – WMU.Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla amesema kuwa Tanzania iko tayari kupokea watalii kutoka China, India na mataifa mengine ambayo yameruhusu raia wake kusafiri...
View ArticleWaziri wa Fedha Dkt. Mpango: Sijaridhishwa Na Eneo Lilipojengwa Soko La...
Na Josephine Majura, Peter Haule-KIGOMAWAZIRI wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), ameuagiza uongozi wa Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma, kutafuta eneo jipya, kubwa, lenye hadhi ya...
View ArticleKatibu Mkuu Wizara ya Kilimo Avitaka Vyuo Vya Mafunzo Ya Kilimo Vihuishe...
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Bwana Gerald Kusaya amewaasa Wakuu wa Vyuo vya Mafunzo ya Kilimo vya Serikali na Binafsi Wanawajibu wa kuhuisha mitaala ya mafunzo ili iendane na mahitaji ya nchi ya sasa...
View ArticleSerikali Yafanikiwa Kuokoa Shilingi Tirioni 11.4
Na. Dennis Buyekwa- OSG Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali imefanikiwa kuokoa kiasi cha shilingi Tirioni 11.4 baada ya kushinda mashauri mbalimbali...
View ArticleMsajili: Vyama Vyote Vina Haki Sawa Kushika Dola
Na Mwandishi Wetu,MAELEZOOFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini imesema ruzuku sio kigezo cha Chama Cha Siasa kuwa na nguvu ya kushika dola na vijenge hoja na ushawishi itikadi yake kwa wananchi...
View ArticleWaziri wa Viwanda ,Innocent Bashungwa Amuagiza Mkurugezi Wa TBS Kuwafukuza...
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Innocent Bashungwa amemuagiza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kuwafukuza kazi wafanyakazi wa shirika hilo wanaowatoza fedha na wanaochelewesha...
View ArticleWaziri Ummy : NHIF Tatueni Malalamiko Ya Upatikanaji Wa Baadhi Ya Dawa
Na.WAMJW,DSMMfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) imetakiwa kutatua malalamiko ya upatikanaji wa baadhi ya dawa na vipimo kwa wananchi wenye bima ya afya.Hayo yamesemwa jana na Waziri wa Afya,...
View ArticleWaziri wa Fedha Dkt. Mpango Aridhishwa Na Ujenzi Wa Ofisi Ya Mkuu Wa Wilaya...
Na: Josephine Majura na Peter Haule KIGOMAWaziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt Philip Isdor Mpango (Mb), ameupongeza uongozi wa mkoa wa Kigoma na Wilaya ya Buhigwe kwa usimamizi mzuri wa ujenzi wa...
View ArticleTakukuru Manyara Yafanikiwa Kurejesha Fedha Zilizoporwa Na Mkuu Wa Shule
Na John Walter-BabatiTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) Mkoani Manyara imefanikiwa kurejesha zaidi ya shilingi milioni nne za watumishi wa shule ya msingi Birsima, ambazo zilifanyiwa...
View ArticleMakamishna Wa Ardhi Watakiwa Kukutana Na Taasisi Zinazodaiwa Kodi Ya Pango La...
Na Munir Shemweta, WANMM SUMBAWANGANaibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewaagiza Makamishna Wasaidizi wa ardhi katika ofisi za mikoa kukaa na taasisi za serikali...
View ArticleZitto Kabwe amkaribisha Benard Membe ACT-Wazalendo
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe, amemkaribisha aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Mwanachama wa CCM Bernard Membe, kuunganisha nguvu kupitia vyama mbadala hii ni mara baada ya...
View ArticleRais Magufuli Awashukuru Waliomdhamini, Asema Ana Deni Kubwa
Na Richard Mwaikenda,Dodoma.Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli amewashukuru sana wote waliojitokeza kumdhamini kwa kujaza fomu za kuomba kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleTARURA Yawajengea Daraja Wananchi Wilayani Mvomero
Na. Erick Mwanakulya, Morogoro.Wakazi wa Kijiji cha Digoma, kata ya Diongoya Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro wameipongeza Serikali kupitia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini...
View ArticleBilioni 13 zatumika kuboresha miradi ya elimu Kigoma
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako amekagua miradi ya elimu inayotekelezwa katika Halmashauri ya Kasulu mkoani Kigoma yenye thamani ya zaidi ya Sh. bilioni 13.Miradi hiyo ni...
View ArticleZitto Kabwe na Wenzake 07 Waripoti Polisi Lindi , watakiwa kurejea tena Julai 20
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo , Zitto Kabwe na viongozi wengine saba wa Chama hicho wameripoti Kituo Kikuu cha Polisi Mkoani Lindi kama walivyohitajika.Zitto pamoja na viongozi wengine akiwemo...
View ArticleRais Magufuli ampongeza Dk. Lazarus Chakwera kwa kuchaguliwa kuwa Rais mpya...
Rais Magufuli amempongeza Dk. Lazarus Chakwera kwa kuchaguliwa kuwa Rais mpya wa Malawi. Kupitia ukurasa wake wa Twitter; Rais Magufuli amesema, “Nakupongeza Dkt. Lazarus Chakwera kwa kuchaguliwa...
View Article