Wataalam 16,000 Sekta Ya Kilimo Wafundishwa
Wizara ya Kilimo imesema mafanikio makubwa yamepatikana nchini katika kuzalisha wataalam wa Kilimo kupitia vyuo vyake na kufanya sekta ya Kilimo kuchangia asilimia 28.2 ya pato la Taifa.Kauli imetolewa...
View ArticleRais Magufuli Ampa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William...
Rais Magufuli amempa siku saba Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, amkabidhi hati ya shamba lenye ukubwa wa hekta 5,000, linalomilikiwa raia wa kigeni wilayani Kilosa, Mkoa...
View ArticleCUF Yamsimamisha Uongozi Makamu Mwenyekiti Wa Chama Hicho Zanzibar
Baraza Kuu la Uongozi Taifa wa Chama Cha Wananchi (CUF) limemsimamisha Makamo Mwenyekiti wa Chama hicho Zanzibar, Abbas Juma Muhunzi kwa kukiuka maadili ya uongozi.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na...
View ArticleHakimu Kizimbani Singida Kwa Kuomba na Kupokea Rushwa
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Singida inatarajia kuwafikisha kwenye Mahakama ya Wilaya ya Manyoni, Bahati Ilikunda Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Kilimatinde na Mzazi...
View ArticleCHADEMA Yatangaza Ratiba Kwa Wagombea wa Urais, Ubunge na Udiwani Kupitia...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimefungua zoezi la uchukuaji fomu za kugombea Urais wa Tanzania, ubunge na udiwani, katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020Ratiba hiyo imetolewa leo Jumatatu...
View ArticleMsanii Vitali Maembe ajiunga ACT -Wazalendo na Kutangaza Nia ya Kugombea Ubunge
Mwanamuziki Vitalis Maembe amejiunga na Chama cha ACT-Wazalendo na kukabidhiwa kadi na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu Maembe amejiunga na chama hicho leo Jumatatu tarehe 29 Juni 2020 na...
View ArticleIran Yatoa Waranti Ya kukamatwa Rais wa Marekani Donald Trump
Iran imetoa waranti wa kukamatwa Rais wa Marekani Donald Trump na wanajeshi 35 wa Marekani, ikiwa ni pamoja na maafisa kutoka taifa hilo kwa kuhusika na kifo cha Jenerali Qassem Soleimani.Iran pia...
View ArticleProf. Palamagamba Kabudi 'Autaka Ubunge' Kilosa
Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Prof. Palamagamba Kabudi amesema yupo tayari kuwatumikia wananchi wa jimbo la kilosa iwapo watamhitaji kwenda kufanya hivyo.Kabudi ameonyesha nia hiyo...
View ArticleUfaransa Yaipatia Tanzania Sh, Bilioni 592.57 Kutekeleza Miradi Ya Umeme Na...
Na Farida Ramadhani na Ramadhani Kissimba, Dar es SalaamSerikali ya ufaransa kupitia shirika la Maendeleo ya nchi hiyo (AFD) imeipatia Tanzania Euro milioni 230 sawa na shilingi bilioni 592.57 zikiwa...
View ArticleSimbachawene Amuagiza IGP Kuwakamata Wafanyabiashara Wanaohodhi Mafuta
Na Felix Mwagara, MOHA KibaigwaWAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amemuagiza Inspekta Jenerali wa Polisi kushirikiana na EWURA kuwakamata Wafanyabisha wa Kampuni mbalimbali...
View ArticleRais Magufuli Atoa Siku 30 Kwa Viongozi Wa Wizara Ya Ujenzi, Uchukuzi Na...
Na Mwandishi Wetu,MAELEZORAIS Dkt. John Magufuli ametoa siku 30 kwa Viongozi wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kumsimamia usiku na mchana mkandarasi wa kampuni ya Padiel JV kuhakikisha...
View ArticleHalmashauri Zatakiwa Kutumia Ramani Zinazotolewa Na Wizara Ya Ardhi
Na Munir Shemweta, WANMM SONGWENaibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amezitaka halmashauri nchini kutumia ramani zilizoandaliwa na kutolewa na Wizara ya Ardhi kupitia...
View ArticleUhusiano Uliopo Kati ya Punyeto na Ukosefu au Upungufu wa Nguvu za Kiume
Ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume, ni tatizo linalo wakabili mamilioni ya wanaume duniani. Zipo sababu nyingi zinazo sababisha tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume....
View ArticleLIVE: Rais Magufuli Akirudisha Fomu Ya Kugombea Urais Kupitia CCM
Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, arudisha fomu ya kugombea nafasi ya Urais kupitia chama chake cha (CCM) katika Ofisi ya CCM, White House Dodoma.==>>Tazama hapo chini
View ArticleWaziri Simbachawene Ashangaa Magari Ya Sekondari Ya Magereza Kusajiliwa Namba...
Na Mwandishi Wetu, Pwani.WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amefanya ziara ya kushtukiza katika Shule ya Sekondari Bwawani ambayo inamilikiwa na Jeshi la Magereza na kubaini madudu...
View ArticleCSR Project | TECNO Mobile Tanzania Kutembelea Kituo Cha Watoto Yatima
TECNO MOBILE TANZANIAP.O.BOX DAR ES SALAAM, TANZANIA25/06/2020PRESS RELEASE: Tecno Mobile Tanzania Kutembelea Kituo Cha Watoto YatimaMnamo tarehe 27 Juni mwaka huu Tecno Mobile Tanzania kwa...
View ArticleVirusi vipya vya mafua vyabainika kwa nguruwe nchini China
Wanasayansi wamebaini uwepo wa aina mpya ya virusi vya nguruwe vinavyosababisha mafua nchini China ambavyo vinahofiwa kuwa huenda vikasababisha janga la dunia.Wataalamu hao wamesema virus hivyo...
View ArticleJaji Ndika : Sheria Ya Wanawake Na Watoto Zitafsiriwe Ziendane Na Wakati
Na Tawani Salum – MahakamaJaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Mhe. Dkt. Jaji Gerald Ndika amewataka Majaji na Mahakimu kutafsiri sheria zinaohusu masuala ya wanawake na watoto ili ziendane na...
View ArticleTumefanya Maboresho Kwenye App Yetu ya Mpekuzi Ili Kukuwezesha Kupata Habari...
Tumefanya Maboresho Kwenye App Yetu ya Mpekuzi Ili Kukuwezesha Kupata Habari zetu Haraka Usikubali kupitwa na taarifa muhimu zinazoendelea hapa nchini na Duniani kwa Ujumla . Tumejipanga vizuri sana...
View Article