Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uwekezaji Tunaoutaka Ni Ule Wa Kuwajibika Katika Jamii- Waziri Kairuki

NA MWANDISHI WETWaziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji Nchini Mhe. Angellah Kairuki amewataka wawekezaji wote nchini kujihusisha na jamii zinazowazunguka kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

‘Waliokacha’ Kuchukua Hati Za Ardhi Kuanza Kudaiwa Kodi Julai Mosi

Na Munir Shemweta, WANMM NJOMBENaibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amesema kuanzi Julai Mosi mwaka huu wananchi wote wasiochukua hati za ardhi huku maeneo yao yakiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Atoa Maagizo Kwa Mkandarasi......Ampongeza Waziri Mkuu Kwa...

RAIS Dkt. John Pombe Magufuli amemuagiza mkandarasi wa Kampuni ya China Railway 15 Bureau Group Corporation kutoka China aliyesaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya kutoka Ruangwa hadi Nanganga yenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LIVE: Rais Magufuli Akizindua Mradi Wa Maji Kisarawe

LIVE: Rais Magufuli Akizindua Mradi Wa Maji Kisarawe

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Azindua Mradi Mkubwa Wa Maji Wa Kibamba-kisarawe Mkoani Pwani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanua Dkt John Pombe Magufuli amezindua mradi wa maji  wa Kibamba Kisarawe uliotekelezwa na Mamlaka ha Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam DAWASA.Mradi huo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Amtumbua Hadharani Katibu Tawala wa Wilaya ya Kisarawe

Rais Magufuli amemtumbua hadharani Katibu Tawala wa Wilaya ya Kisarawe (DAS ), Mtela Mwampamba na kumteua Mwanana Msumi kushika nafasi hiyo hapo hapo.  Mwambapa ametumbuliwa leo tarehe 28 Juni 2020,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mhagama Kufungua Kikao Cha Msajili Na Viongozi Wa Vyama Vya Siasa...

Waziri wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge, Sera, Kazi, Vijana na Watu wenye Ulemavu Jenister Mhagama anatarjiwa kufungua kikao cha siku mbili baina ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanahisa Benki ya CRDB kupata ongezeko la asilimia 112.5 la Gawio, Shilingi...

Wanahisa wa Benki ya CRDB wameidhinisha gawio la shilingi 17 kwa hisa lililopendekezwa na Bodi ya Wakurugenzi ya benki hiyo katika Mkutano Mkuu wa 25 wa Wanahisa uliofanyika kidijitali siku ya jumamosi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri Masauni: - Changamoto Makazi Ya Askari Kuwa Historia

Serikali iko mbioni kumaliza changamoto za makazi ya Askari nchi nzima ikiwa ni mkakati wa Uongozi wa  Awamu  ya  Tano  kutatua changamoto hiyo iliyodumu kwa muda mrefu katika vyombo vilivyopo ndani ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri wa Fedha Dkt. Mpango Aagiza Matumizi Ya Fedha Ujenzi Kituo Cha Afya...

Na. Josephine Majula na Peter Haule, WFM, KigomaWaziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango ameagiza kufanyika uchunguzi wa kina wa matumizi ya zaidi ya shilingi milioni 400 zilizotumika kujenga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maalim Seif atangaza kugombea urais Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo

Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Maalim Seif Hamad ametangaza kugombea Urais Visiwani Zanzibar kupitia chama chake cha ACT-Wazalendo. Amesema, kutokana na imani ya Wazanzibari waliyoionesha katika miaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali yatoa ufafanuzi juu ya matumizi ya Barakoa kwa Wanafunzi

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Habari Zilizopo Katika Nagazeti ya Leo Jumatatu June 29

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda Ataka Ujenzi Wa Kiwanda Kipya Cha Viatu Cha...

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Prof. Riziki Shemdoe ameitaka kampuni ya Tanelec – Arusha kuharakisha utengenezaji wa vifaa  vya umeme ikiwemo  (switch gears ) ambazo zinasubiriwa kufungwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli akagua ujenzi wa reli ya kati (standard gauge railway) sehemu...

Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli jana  tarehe 28 Juni, 2020 amekagua maendeleo ya ujenzi wa reli ya kati kwa kiwango cha kisasa (standard gauge) kwa sehemu ya kwanza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

New Mv Victoria Hapa Kazi Tu Yatia Nanga Rasmi Katika Bandari Ya Bukoba.

Na Avitus Benedicto Kyaruzi, Bukoba Kagera.Hatimaye meli ya New Mv Victoria Hapa Kazi Tu iliyokuwa imesitisha huduma za usafiri katika ziwa victoria kati ya Mwanza na Kagera  imetia nanga katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

China nayo yageukia mitishamba kutibu corona

Wakati wanasayansi wakipambana kutengeneza chanjo ya virusi vya corona, China nayo imetengeneza dawa ya asili inayojulikana kama 'Traditional Chinese medicine (TCM)' ili kutibu ugonjwa wa corona.Gazeti...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LIVE: Rais Magufuli Akiweka Jiwe La Msingi Wa Ujenzi Wa Mahandaki Ya Reli Ya SGR

Live: Rais  Magufuli Akiweka Jiwe La Msingi Wa Ujenzi Wa Mahandaki Ya Reli Ya SGR

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nimeisambaratisha CHADEMA Ukonga, sasa nahamia Tarime Vijijini- Mwita Waitara

Naibu Waziri wa TAMISEMI Mwita Waitara, amesema kuwa mpaka sasa hivi amekwishamaliza kazi kubwa ndani ya Jiji la Dar es Salaam ya kukisambaratisha Chama cha CHADEMA, na kwa sasa  ameweka wazi kwa mara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LIVE: Ziara Ya Rais Magufuli Mkoani Morogoro

LIVE: Ziara Ya Mhe.rais  Magufuli Mkoani Morogoro

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>