Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali Kuboresha Mazingira Ya Ukusanyaji Takwimu

Na. Josephine Majura na Peter Haule, WFM, KigomaWAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango amesema Serikali itaendelea kuboresha mazingira ya kazi na mifumo ya ukusanyaji wa takwimu ili kuwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Kigwangalla Aagiza Kuundwa Kwa Kamati Uanzishwaji Wa Pori La Akiba Na...

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla ameagiza kuundwa kwa Kamati itakayopitia na kutoa mapendekezo kwa Serikali juu ya namna bora ya kushughulikia mgogoro wa uanzishwaji wa Pori la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shirika la Fedha Duniani (IMF) Laahidi Kuipatia Tanzania Fedha Itakayoihitaji

Shirika la Fedha Duniani (IMF) limeahidi kuipatia Tanzania fedha itakayoihitaji ili iweze kuendelea kukabiliana na athari zitokanazo na janga la Covid 19 kwa ajili ya kuimarisha uchumi wake.Mkurugenzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kanuni bora za ufugaji wa kuku wa kienyeji(kuku Asili)....Soma Hapa Uwe Tajiri

Ufugaji wa kuku wa asili ni nyenzo muhimu katika kupambana na wimbi la umasikini kwa kuongeza kipato cha kaya. Hata hivyo, pamoja na soko la uhakika, bado ufugaji kuku haujaweza kutumika ipasavyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tumefanya Maboresho Kwenye App Yetu ya Mpekuzi Ili Kukuwezesha Kupata Habari...

Tumefanya maboresho katika App yetu ya MPEKUZI ili kuendana na changamoto ya sasa ya janga la Corona inayoikumba dunia NzimaUsikubali kupitwa na taarifa muhimu zinazoendelea hapa nchini na Duniani  kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mpina Atengua Uteuzi Wa Kaimu Msajili Wa Bodi Ya Maziwa Dkt.Sophia Mlote

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkutano Wa Mawaziri Wa Kamati Ya SADC Ya Asasi Ya Ushirikiano Wa Siasa,...

Mkutano wa Mawaziri wa Kamati ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ya Asasi ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi na Usalama kwa ngazi ya Mawaziri umefanyika kwa njia ya Mtandao (Video...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi June 27

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi Seif Ali Iddi: Pokeeni Fedha Za Wanaotaka Kununua Uongozi Ndani Ya CCM...

SALVATORY NTANDUMkamo wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Balozi Seif Alli Idd amewataka viongozi wa ngazi za matawi,kata,wilaya na Mikoa kuzipokea fedha zinazotolewa na baadhi ya watia nia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wakulima Waaswa Kuchangamkia Fursa Ya Kilimo Cha Parachichi

NA MWANDISHI WETU – NJOMBEWakulima nchini wameaswa kuchangamkia fursa za kilimo cha zao la parachichi kwa kuzingatia uwepo wa soko la uhakika ndani na nje ya nchi kwa kuongeza uzalishaji wa zao hilo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wakurugenzi Halmashauri Watakiwa Kuwatumia Wataalamu Wa Ofisi Za Ardhi Za Mikoa

Na Munir Shemweta, WANMM IRINGAWaziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka wakurugenzi wa halmashauri nchini kuwatumia wataalam wa sekta ya ardhi waliopo kwenye ofisi za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania Kusisadia Burundi Kuwa Mwanachama wa SADC

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Tanzania itaendelea kuisaidia nchi ya Burundi ili ifanikiwe katika adhma yake ya kutaka kuwa mwanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jaji Mkuu awafanyia usajili Mawakili kwa njia ya mtandao

Na Magreth Kinabo na Innocent Kansha- MahakamaJaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma kwa mara ya kwanza amewafanyia usaili wahitimu wa taaluma ya Sheria kwa ajili ya kuwapokea na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makada 15 CCM Warejesha Fomu za Kugombea Urais Zanzibar

Wanachama 15 wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wamerudisha fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar baada ya kuzijaza na kudhaminiwaHadi jana Ijumaa tarehe 26 Juni 2020, takribani makada 15 kati ya 30...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wigo Mpana Sekta Ya Kilimo Kwenye Utunzaji Mazingira Na Uendelezaji Viwanda...

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya  amesema wigo mpana ulipo katika sekta ya Kilimo kwenye utunzaji wa mazingira na uendelezaji wa viwanda utumike kupunguza utegemezi wa Ajira serikalini kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Riwaya Kali ya Kusisimua....SIN- Sehemu Ya 17,18 na 19

Mwandishi- EDDAZARIA G.MSULWAAge-18+Simu-0657072588(whatsapp) au 0768516188ILIPOISHIA“Baby vipi?”Magreth aliuliza huku akimsangaa nabii Sanga akishuka kitandani. Nabii Sanga siku zote ana mfahamu mke...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali Yaruhusu Mashabiki Kuingia Mechi Ya Prisons Na Simba

Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kupitia Baraza la Michezo la Taifa (BMT) imepokea ombi kutoka Ofisi ya Katibu Tawala Mkoa wa Mbeya la kuruhusiwa kuingiza washangiliaji katika Michezo ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri Wa Afya Dkt.mollel Atembelea Bohari Ya Dawa (Msd) Jijini Dar Es...

Na WAMJW- DSM.Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Dkt Godwin Mollel ametembelea Bohari ya Dawa (MSD) Makao Makuu na kuzungumza na watumishi wa taasisi hiyo ili kufahamu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya LeLeo Jumapili June 28

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkurugenzi TAKUKURU amuondoa Boss Arusha alieonywa na Rais Magufuli

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), Brigedia Jenerali John Mbungo,  amepangua vituo vya kazi vya maafisa sita wa taasisi hiyoTaarifa ya mabadiliko hayo...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>