Mkuu Wa Mkoa Wa Tanga Martine Shigela Aipongeza TRA Kuendesha Kampeni Ya...
Na Mwandishi wetuMKUU wa mkoa wa Tanga, Mhe. Martine Shigela amesema kampeni ya elimu kwa mlipakodi ambayo inaendeshwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) itawasaidia wafanyabiashara wanaokwepa kulipa...
View ArticleJiji la Dodoma Latarajia Ufaulu Mkubwa kwa Wanafunzi wa Kidato cha 6 Mwaka Huu
Na. Dennis Gondwe, DODOMA HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma inatarajia ufaulu mzuri kwa wanafunzi watakaofanya mtihani wakumaliza kidato cha sita mwaka 2020 kufuatia wanafunzi hao kuandaliwa vizuri na...
View ArticleMufti Mkuu Tanzania Asema hakutokuwa na ibada ya Hijja Mwaka huu
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Abubakar Zubeir bin Ally kwa niaba ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), ametangaza kuwa mwaka huu hakutokuwa na ibada ya hijja hii ni kutokana na kauli...
View ArticleMkutano Wa Mawaziri Wa Kamati Ya SADC Ya Asasi Ya Ushirikiano Wa Siasa,...
Mkutano wa Mawaziri wa Kamati ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ya Asasi ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi na Usalama kwa ngazi ya Makatibu Wakuu/ Maafisa Waandamizi umefanyika tarehe 25...
View ArticleTumefanya Maboresho Kwenye App Yetu ya Mpekuzi Ili Kukuwezesha Kupata Habari...
Tumefanya maboresho katika App yetu ya MPEKUZI ili kuendana na changamoto ya sasa ya janga la Corona inayoikumba dunia NzimaUsikubali kupitwa na taarifa muhimu zinazoendelea hapa nchini na Duniani kwa...
View ArticleTaasisi Zatakiwa Kubuni Teknolojia Mpya
Jesse Chonde -Kigoma Taasisi za ubunifu zilizo chini ya wizara ya Viwanda na biashara zimetakiwa kubuni mashine zitakazosaidia uvunaji na uchakataji wa mafuta ya mawese ili kuongeza thamani ya zao...
View ArticleWaziri Lukuvi Aagiza Wasajili Wasaidizi Wa Hati Ofisi Za Ardhi Za Mikoa Kutoa...
Na Munir Shemweta, WANMM SINGIDAWaziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka Wasajili WasaidIzi wa Hati kwenye Ofisi za Ardhi za Mikoa kutoa elimu kwa wananchi kuhusiana na...
View ArticleNew Victoria Hapa Kazi Tu Kumaliza Changamoto ya Usafiri...
Na Avitus Benedicto Kyaruzi, Kagera.Wananchi Mkoani Kagera wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika mapokezi ya Meli ya New Victoria Hapa Kazi tu kwenye bandari ya Bukoba ikiwa ni sehemu ya majaribio ya...
View ArticleUpinzani waongoza uchaguzi Malawi
Kiongozi wa upinzani nchini Malawi Lazarus Chakwera anaelekea kushinda marudio ya Uchaguzi wa urais uliofanyika wiki hii, wakati huu Tume ya Uchaguzi ikitarajiwa kumtangaza mshindi.Ripoti kwenye vyombo...
View ArticlePierre Nkurunziza kuzikwa leo Ijumaa
Rais wa zamani wa Burundi Pierre Nkurunziza aliyefariki ghafla tarehe 8 mwezi huu katika hospitali ya mkoa wa Karusi, anazikwa leo katika mji mkuu wa nchi hiyo, Gitega.Wananchi wa Burundi pamoja na...
View ArticleSerikali ya Tanzania yatoa maelekezo ulipaji ada shule binafsi Baada Ya Janga...
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetoa maelekezo ya ulipaji wa ada kwa shule zisizo za serikali baada ya janga la corona kufuatia uwepo wa malalamiko kuhusu ulipaji wa ada na malipo mengine kwa...
View ArticleNEC yasubiri tangazo la kuvunjwa kwa bunge ili iweze kutangaza tarehe rasmi...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema inasubiri tangazo kwenye gazeti la serikali la kuvunjwa kwa bunge ili iweze kuweka tarehe rasmi ya uchaguzi mkuu.Mkurugenzi wa NEC, Dkt Wilson Mahera amesema...
View ArticleMwanafunzi Amchoma Kisu Mwanafunzi Mwenzake baada ya kumkuta kwenye chumba...
Mwanafunzi wa Chuo cha Utumishi Kange, mkoani Tanga anadaiwa kumuua mwanafunzi mwenzake kwa kumchoma kisu baada ya kumkuta kwenye chumba cha rafiki yake wa kike.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga,...
View ArticleTAKUKURU Dodoma Yamrejeshea Mstaafu Milioni 10 Alizodhurumiwa Na Taasisi Ya...
Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma.Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa [TAKUKURU]Mkoa wa Dodoma imefanikiwa kumrejeshea kiasi cha Tsh.milioni kumi Bi.Frida Nahamani mwenye umri wa miaka 62 mkazi...
View ArticleNaibu Waziri Nyongo amaliza mgogoro kwenye machimbo ya madini...
Na Greyson Mwase, TangaNaibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo ametatua mgogoro wa muda mrefu kati ya mmliki wa machimbo ya dhahabu ya Kwandege yaliyopo wilayani Handeni mkoani Tanga, Godfrey...
View ArticleTanzania Yafanikiwa Kupunguza Uingizaji wa Dawa za Kulevya kwa 90%.
Na. Immaculate Makilika- MAELEZOTanzania imefanikiwa kupunguza uingizaji wa dawa za kulevya kwa asilimia 90 kufuatia jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali za kupunguza tatizo la dawa za kulevya...
View Article