Mchimbaji Mdogo Wa Madini Ya Tanzanite Kutambuliwa Rasmi Kuwa Bilionea Baada...
Wizara ya Madini leo imemtambua rasmi mchimbaji mdogo Saniniu Laizer kuwa Bilionea baada ya kupata mawe makubwa mawili ya Tanzanite yenye thamani ya Tsh. Billion 7.8. Katibu Mkuu Wizara ya Madini...
View ArticleNjombe:Kijana ajinyonga kwa kutumia shuka ndani ya Nyumba
Na Amiri kilagalila,NjombeKijana anayefahamika kwa jina la Chesco Mtega mwenye umri wa miaka 19 mkazi wa kitongoji cha Kanisa A Kijiji cha Ludewa,wilayani Ludewa mkoani Njombe amegundulika amejinyonga...
View ArticleMrema: Rais Magufuli Ndiye Mgombea Wetu Wa Urais Uchaguzi Mkuu Wa Oktoba
MWENYEKITI wa Chama cha Tanzania Labour Party, Augustino Mrema amesema chama hicho kinaendelea na msimamo wake wa kumuunga mkono, Rais Dkt. John Magufuli kuwa mgombea wake wa nafasi ya Urais katika...
View ArticleWaziri Mkuu: Serikali Itashughulikia Changamoto Zawatanzania Wote Bila Ya...
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli itaendelea kushughulikia changamoto mbalimbali zinazowakabili Watanzania wote zikiwemo za...
View ArticleWaziri Kigwangalla Ateta Na Mabalozi Wa Nchi Mbalimbali Kuhusu Utayari Wa...
Na. Aron Msigwa – WMU.Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla amesema kuwa Tanzania imejipanga na iko tayari kupokea watalii kutoka katika mataifa mbalimbali ikiwemo nchi ya Sweden na...
View ArticlePICHA: Lowassa Na Mkewe Wamdhamini Rais Magufuli Kutetea Kiti Chake Cha Urais
Waziri mkuu na Mbunge wa zamani wa Monduli Mh Edward Lowassa pamoja na mkewe Mama Regina Lowassa leo huko Monduli wamekuwa miongoni kwa wana CCM waliyomdhamini Rais John Pombe Magufuli kutetea kiti...
View ArticleZitto Kabwe, Seleman Bungara (Bwege) na Viongozi Wengine ACT-Wazalendo...
Kiongozi wa ACT Wazalendo Mhe.Zitto Kabwe na Bwana Seleman Bungara (Bwege) na viongozi wengine 6 wameachiwa kwa dhamanabaada ya hapo jana kukamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Lindi wakiwa katika kikao...
View ArticleIGP Sirro Afanya Mabadiliko ya Baadhi ya Makamanda wa Polisi Wa Mikoa Akiwemo...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amemhamisha Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ACP Salum Hamduni kwenda kuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha na aliyekuwa kamanda wa Polisi mkoa wa...
View ArticleSekta ya mawasiliano ya simu inavyoweza kuboresha ubunifu wa kiteknolojia...
Dismas Mafuru, UDSM Katika miaka ya hivi karibuni serikali ya Tanzania ikishirikiana na sekta binafsi imechukua hatua mbalimbali kuimarisha uchumi. Nyingi ya juhudi hizi ni sehemu ya mpango wa dira ya...
View ArticleTanzania Yaendelea Kuziomba Taasisi Za Fedha Za Kimataifa Kusamehe Madeni...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kuziomba taasisi za fedha za kimataifa pamoja na nchi za Jumuiya ya madola kufikiria kufuta kabisa madeni yaliyokopeshwa kwa nchi zinazoendelea...
View ArticleWananchi Watakiwa Kuiunga Mkono Serikali Kwa Kuboresha Huduma Za Matibabu Ya...
Wananchi wametakiwa kuiunga mkono Serikali kutokana na maboresho makubwa yaliyofanywa ya upatikanaji wa huduma za kibingwa za matibabu ya moyo zinazotolewa hapa nchini.Rai hiyo imetolewa jana jijini...
View ArticleMaafisa Ardhi Watakiwa Kuwafuatilia Wamiliki Wasiotaka Kuchukua Hati Za Ardhi
Na Munir Shemweta, WANMM ARUSHAWaziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka Maafisa Ardhi nchini kuhakikisha wanawafuatilia wamiliki wa ardhi ambao hati zao zimekamilika...
View ArticleWajumbe Sita CCM Waliosimamishwa Kwa Tuhuma Za Rushwa Zanzibar Warejeshwa...
Na Faustune Gimu,DodomaMWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa (UVCCM), HERI JAMES ametangaza kuwa jumuiya hiyo inawarejesha kazini wajumbe sita wa umoja huo Zanzibar waliokuwa...
View ArticleMkuu wa Wilaya ya Dodoma Patrobasi Katambi Amsimamisha Kazi Afsa Mipango Miji...
Na Faustine Gimu,DodomaKUU wa wilaya ya Dodoma mjini Patrobasi Katambi ametangaza kumsimamisha kazi,Hadson Magomba,ambaye yupo kitengo cha mipango miji katika jiji la Dodoma kwa kushindwa kutenda haki...
View ArticleWatu Wanne Wafariki, 27 Wajeruhiwa Baada ya Kupigwa Radi Wakiwa Katika...
Watu wanne wilayani Ukerewe, Mkoa wa Mwanza wamefariki huku wengine 27 wakijeruhiwa baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria katika Ziwa Victoria kupigwa na radi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza ACP....
View ArticleJamii Yatakiwa kuwafichua wauza dawa za kulevya
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ameitaka jamii mkoani Tanga kuibua na kuwafichua wauzaji na wasambazaji wa dawa za kulevya.Waziri Ummy ametoa kauli hiyo jana...
View ArticleMtoto Afariki Dunia Wilayani Kwimba Baada ya Kushambuliwa na Fisi
Mtoto mmoja aliyetambulika kwa jina la Dalaile Milambo (6) mwanafunzi wa chekechea, wilayani Kwimba, mkoani Mwanza amefariki baada ya kushambuliwa na fisi.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza ACP. Muliro...
View ArticleWaziri Mkuu Kassim Majaliwa Awataka Wakulima Wasikate Tamaa Kisa Kushuka kwa...
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka wakulima wa mazao mbalimbali ya biashara wakiwemo wakulima wa ufuta nchini waendelee na kilimo na kwamba suala la kushukuka kwa bei lililotokea kwenye msimu wa...
View ArticleMilioni 780 Kujenga Kliniki Ya Huduma Za Methadone Mkoa Wa Tanga
Na WAMJW – TangaSerikali kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo wanaendelea kuboresha huduma za afya nchini ambapo shilingi milioni 780 zimetolewa kwa ajili ya kujenga kliniki ya huduma za methadone...
View Article