Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

PICHA: Lowassa Na Mkewe Wamdhamini Rais Magufuli Kutetea Kiti Chake Cha Urais

$
0
0
Waziri mkuu na Mbunge wa zamani wa Monduli Mh Edward Lowassa pamoja na mkewe Mama Regina Lowassa leo huko Monduli wamekuwa miongoni kwa wana CCM waliyomdhamini Rais John Pombe Magufuli kutetea kiti chake cha urais kupitia CCM katika uchaguzi mkuu baadaye Oktoba mwaka huu.

Pichani Mama Regina akitoka saini fomu za udhamini mara baada ya Mh Lowassa kufanya hivyo

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>