Waziri Mkuu: Milioni 700 Kujenga Shule Ya Sekondari Ya Wasichana Ruangwa
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali imedhamiria kuboresha elimu kwa watoto wa kike nchini kote ikiwemo wilaya ya Ruangwa ambayo imepewa sh. milioni 700 kwa ajili ya kuanza ujenzi wa shule...
View ArticleWaziri Lukuvi Aagiza Hati Za Ardhi Kutolewa Ndani Ya Wiki Moja
Na Munir Shemweta, WANMM TANGAWaziri wa Ardhi Nyumba na Maendeeo ya Makazi William Lukuvi ameagiza kutolewa Hati za umiliki wa ardhi ndani ya wiki pamoja pale mwananchi atakapokuwa amekamilisha...
View ArticleWagombea Watakaotoa Rushwa Kwa Wapiga Kura Kuchukuliwa Hatua Za Kisheria
SALVATORY NTANDUSerikali wilayani Kahama mkoani Shinyanga imesema itachukua hatua kali za kisheria kwa Wagombea wa nafasi za Udiwani na Ubunge ambao watabainika kuanza kampeni kabla ya muda...
View ArticleNafasi Mbalimbali za Kazi Zilizotangazwa Serikalini.....Mwisho Wa Kutuma...
1. Clearing And Forwarding Officers Grade I – 10 Post At TASAC QUALIFICATION Bachelor Degree or Advance Diploma either in Freight Clearing and Forwarding, Transport and Logistics Management, Supply...
View ArticleMajengo Mapya Yaambatane Na Huduma Bora Kwa Wananchi: Jaji Kiongozi
Na Lydia Churi- Mahakama SimiyuJaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi amesema uzuri wa majengo ya Mahakama yanayojengwa hivi sasa hauna budi kuambatana na upatikanaji wa...
View ArticleAskari Polisi na Watuhumiwa Wengine Wakamatwa Kwa Tuhuma za Mauaji
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wanne akiwemo Askari Polisi mmoja namba G.8695 PC JOHN KAIJAGE [34] Mkazi wa Isyesye Jijini Mbeya, FOTUNATUS KAGANDE [23] Mkazi wa Iwambi, PETSON...
View ArticleUgonjwa Wa Corona Usiwe Kigezo Cha Watoto Kukosa Chanjo
Na WAMJW - DodomaSerikali imeitaka jamii kuhakikisha watoto wanapata chanjo kipindi hichi chenye maambukizi ya Virusi vya Corona (Covid-19) ili wapate kinga ya magonjwa mengine.Rai hiyo imetolewa na...
View ArticleZitto Kabwe, Seleman Bungara ( Bwege) Wakamatwa na Jeshi la Polisi Kilwa
Jeshi la Polisi Wilaya ya Kilwa Mkoa wa Lindi limemkamata Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe.Zitto Kabwe amekamatwa Leo Jumanne June 23, 2020 akiwa kwenye mkutano wa ndani wa kupokea...
View ArticleJitihada Za Rais Magufuli Zaongeza Ari Ya Ulipaji Kodi Tanga
Na Mwandishi wetuWAFANYABIASHARA wa Mkoa wa Tanga, wamesema hawaoni shida ya kulipa kodi baada ya kuona utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo inayofanywa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli kupitia...
View ArticleMwakyembe: SADC Inatambua Mchango wa Wanahabari wa Ukanda Huu wa Afrika
Na Mwandishi Wetu-MAELEZO.Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt.Harrison Mwakyembe amesema Jumuiya ya maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) imeendelea kutambua mchango mkubwa wa...
View ArticleRC Kagera Aagiza Watumishi Wanne Kusimamishwa Kazi, Na Watendaji 30 Kukamatwa...
Na Allawi kaboyo.Mkuu wa Mkoa Kagera Brig.Jen. Marco Gaguti amemwagiza kamanda wa polisi mkoani humo pamoja na Kamanda wa TAKUKURU kuwakamata watumishi 34 katika halmashauri ya wilaya Biharamulo...
View ArticleWziri Mkuu: Tutapeleka Umeme Kila Kijiji Tena Kwa Gharama Nafuu
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli imedhamiria kufikisha huduma ya umeme katika vijiji vyote nchini vikiwemo na vijiji 25 vya...
View ArticleBREAKING: Serikali Yasitisha Leseni ya uchapishaji na usambazaji wa Gazeti la...
Serikali imesitisha leseni ya uchapishaji na usambazaji wa Gazeti la Tanzania Daima kwa kukithiri, kujirudia makosa yanayokiuka sheria za nchi na maadili ya uandishi wa habari licha ya kuwaonya,...
View ArticleVijana Watakiwa Kutumia Ujuzi Wa Mafunzo Ya Kilimo Cha Kisasa Kujikwamua...
Na; Mwandishi Wetu – ManyaraVijana walionufaika na mafunzo ya Kilimo cha Kisasa kupitia teknolojia ya Kitalu Nyumba “Greenhouse” wamehimizwa kutumia ujuzi huo ili waweze kujikwamua kiuchumi kwa...
View ArticleSADC Yapitisha Mwongozo Wa Kikanda Wa Urazinishaji (Harmonization) Na...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi amefungua Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC na kuzitaka nchi wanachama kushirikiana na kuchukua hatua...
View ArticleOfisi Za Ardhi Za Mikoa Zatakiwa Kuwa Na Daftari La Migogoro Ya Ardhi
Na Munir Shemweta, WANMM MANYARAWazairi wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi ameziataka ofisi za ardhi za mikoa zilizozanzishwa hivi karibuni kuwa na daftari maalum lenye orodha ya...
View ArticleBenard Membe Asisitiza Msimamo wake wa Kugombea Urais Mwaka Huu
Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Benard Membe, ameendelea kutia mkazo mpango wake wa kuwania urais kupitia chama chochote cha siasa nchini.Membe ambaye mwaka...
View ArticleYanga Yampiga Faini Ya Milioni 1.5 Mchezaji Wake Benard Morrison
Uongozi wa klabu ya Yanga umempiga faini ya Sh. 1.5 Milioni nyota wake raia wa Ghana, Benard Morrison kwa kufanya mahojiano na mwandishi wa habari bila kutoa taarifa kwa klabu na kuzua hali ya...
View Article