Msaidizi Mkuu wa Rais wa DRC Ahukumiwa miaka 20 kwa ufisadi
Msaidizi mkuu wa Rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela na kazi ngumu kutokana na hatia ya ufisadi.Vital Kamerhe, mwenye umri wa miaka 61 na...
View ArticleBaraza la wazazi Njombe lapitisha azimio la kumpongeza Rais Magufuli
Amiri kilagalilaBaraza la Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Njombe lililoketi Juni 20/2020 chini ya Katibu wake wa Mkoa Ndg, Hussein Mwaikambo (Senetor) pamoja na mambo mengine kwa kauli...
View ArticleWaziri Mkuu: Watu Wote Watakaojihusisha Na Vitendo Vya Rushwa Wakamatwe
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali imewaagiza Makamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) nchini wahakikishe wanawakamata na kuwachukulia hatua watu wote...
View ArticleWaziri Mhagama Apongeza Wananchi Kwa Kujitokeza Na Kuboresha Taarifa Zao...
Na; Mwandishi Wetu, ChembaWaziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama ametoa pongezi kwa wananchi kwa hatua ya...
View ArticleKauli Ya Benard Membe Kuhusu Kugombea Urais wa Tanzania
WAZIRI wa zamani wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Bernard Membe amesema kuwa atagombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020 endapo tu Chama cha Mapinduzi...
View ArticleWaziri Mkuu Majaliwa Aongoza Zoezi la Kumdhamini Rais Magufuli Wilayani Ruangwa
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameongoza wanachama 314 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Ruangwa, Lindi katika kujaza fomu za kumdhamini Rais Dkt. John Pombe Magufuli ili aweze kuteuliwa kugombea...
View ArticleMapenzi Ya Kichawi : Wanawake Acheni Kutumia Uchawi Kwenye Mapenzi. .......
By. AFRICANDADAZ BLOGWanawake wengi wa siku hizi hawajiamini katika mapenzi ndoa na mahusiano. Ndio maana wengi wao hawawezi kuingia katika mahusiano ya kimapenzi bila kutumia...
View ArticleKhamis Mgeja Aipa Tano CCM
Aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga Khamis Mgeja amekipongeza chama hicho kwa kuweka utaratibu mpya wa kupata wagombea ndani ya chama.Amesema kuwa utaratibu huo unajenga...
View ArticleBilioni 9 Kujenga Maabara Ya Kisasa Ya Uchunguzi Wa Magonjwa Ya Binadamu Ya...
Na WAMJW- KILIMANJARO. SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imejenga Maabara ya Kisasa ya uchunguzi wa magonjwa ya binadamu ya kuambukiza yenye thamani ya...
View ArticleTumefanya Maboresho Kwenye App Yetu ya Mpekuzi Ili Kukuwezesha Kupata Habari...
Tumefanya maboresho katika App yetu ya MPEKUZI ili kuendana na changamoto ya sasa ya janga la Corona inayoikumba dunia NzimaUsikubali kupitwa na taarifa muhimu zinazoendelea hapa nchini na Duniani kwa...
View ArticleLIVE: Rais Magufuli anawaapisha viongozi Wapya aliowateua
LIVE: Rais Magufuli anawaapisha viongozi Wapya aliowateua
View ArticleNaibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Ajitosa Kugombea Urais...
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni leo tarehe 22 Juni 2020, amejitokeza katika ofisi kuu za CCM zilizopo Kisiwandui mjini Zanzibar kuchukua...
View ArticleRais Magufuli Ataja Chanzo Cha Kumfuta Kazi Mkuu wa Mkoa wa Arusha.....RPC...
Rais Magufuli amesema alitengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo na wenzake wawili, kutokana na kutotekeleza maagizo yake huku wakiendekeza malumbano kwa takribani miaka miwili.Rais...
View ArticleRais Magufuli Atoa Bilioni 1.9 Kuboresha Upatikanaji Wa Maji Na Vyoo Bora Kagera
Na.Allawi Kaboyo,BukobaKatika kuhakikisha wananchi wanaendelea kujikinga na magonjwa ya mlipuko, Mkoa wa Kagera umepokea shilingi bilioni 1.9 kwa mwaka wa fedha unaomalizika juni 2020 kwaajili ya...
View ArticleMapenzi Ya Kichawi : Wanawake Acheni Kutumia Uchawi Kwenye Mapenzi. .......
By. AFRICANDADAZ BLOGWanawake wengi wa siku hizi hawajiamini katika mapenzi ndoa na mahusiano. Ndio maana wengi wao hawawezi kuingia katika mahusiano ya kimapenzi bila kutumia...
View ArticleUdhibiti Wa Sumukuvu Unahitaji Wadau Kushirikiana
WADAU wa usalama wa chakula nchini wametakiwa kuisaidia serikali kutekeleza mradi mkubwa wa miaka mitano wenye lengo la kudhibiti tatizo la sumu kuvu ili ili kuboresha afya ya jamii kwa kuhakikisha...
View ArticleMkutano Wa Dharura Wa Baraza La Mawaziri Wa SADC Kufanyika June 23
Mkutano wa Dharura wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) utafanyika tarehe 23 Juni, 2020 kwa njia ya Mtandao (Video Conferencing) katika Kituo cha Mikutano cha...
View ArticleRais Shein Aivunja Baraza la Wawakilishi Zanzibar
Rais wa Serikali za Mapinduzi Zanzibar Dr Ali Mohamed Shein leo Jumamosi tarehe 20 Juni 2020 amelivunja Baraza la Wawawakilishi la Zanzibar. Akizungumza wakati anavunja baraza hilo, Rais Shein...
View Article