Waziri Wa Afya Ummy Mwalimu Azindua Mwongozo Wa Matibabu Ya Sikoseli
WAMJW- Dar es SalaamSerikali imezindua mwongozo wa Taifa wa matibabu kwa watu wenye ugonjwa wa sikoseli, huku ikiagiza kuanzishwa kwa kliniki maalumu za kuchunguza ugonjwa huo katika ngazi ya wilaya na...
View ArticleChina kufuta baadhi ya mikopo kwa mataifa ya Afrika
China imesema itafuta mikopo isiyokuwa na faida iliyokuwa kama mzigo kwa mataifa mbalimbali ya Afrika wakati huu bara hilo linalopoendelea kukabiliana na janga la Corona.Rais Xi Jinping ametoa tangazo...
View ArticleWaziri Mhagama Atoa Maagizo Ujenzi Wa Mradi Kiwanda Cha Machinjio Ya Kisasa...
Na.Mwandishi Wetu – Mvomero, MorogoroWaziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama ameutaka uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya...
View ArticleMaelfu waandamana Mali wakitaka rais wa nchi hiyo Ajiuzulu
Makumi ya maelfu ya wananchi wa Mali wamefanya maandamano makubwa katika mji mkuu Bamako, wakishinikiza kujiuzulu Rais Ibrahim Boubacar Keita wa nchi hiyo.Waandamanaji hao wamesikika wakilaani uongozi...
View ArticleNdugai: Mbowe asikimbilie Urais kuficha aibu ya kushindwa Ubunge, Baadhi ya...
Spika wa Bunge, Job Ndugai ametoa ya moyoni kuhusu hatua ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake kuwania urais, kwa kile...
View ArticleRais Magufuli Atoa Bilioni 1.9 Kuboresha Upatikanaji Wa Maji Na Vyoo Bora Kagera
Na.Allawi Kaboyo,BukobaKatika kuhakikisha wananchi wanaendelea kujikinga na magonjwa ya mlipuko, Mkoa wa Kagera umepokea shilingi bilioni 1.9 kwa mwaka wa fedha unaomalizika juni 2020 kwaajili ya...
View ArticleWabunge 21 na Madiwani 9 wa CUF Watimkia ACT-Wazalendo
Wabunge 21 na madiwani 09 wa CUF,waliomaliza muda wao, wakiongozwa na Ally Salehe, Mbunge wa Malindi Visiwani Zanzibar, kumejiunga na ACT-Wazalendo.Wabunge hao wastaafu wamepokelewa leo Jumamosi...
View ArticleMapenzi Ya Kichawi : Wanawake Acheni Kutumia Uchawi Kwenye Mapenzi. .......
By. AFRICANDADAZ BLOGWanawake wengi wa siku hizi hawajiamini katika mapenzi ndoa na mahusiano. Ndio maana wengi wao hawawezi kuingia katika mahusiano ya kimapenzi bila kutumia...
View ArticleRais Shein Aivunja Baraza la Wawakilishi Zanzibar
Rais wa Serikali za Mapinduzi Zanzibar Dr Ali Mohamed Shein leo Jumamosi tarehe 20 Juni 2020 amelivunja Baraza la Wawawakilishi la Zanzibar. Akizungumza wakati anavunja baraza hilo, Rais Shein...
View ArticleTumefanya Maboresho Kwenye App Yetu ya Mpekuzi Ili Kukuwezesha Kupata Habari...
Tumefanya maboresho katika App yetu ya MPEKUZI ili kuendana na changamoto ya sasa ya janga la Corona inayoikumba dunia NzimaUsikubali kupitwa na taarifa muhimu zinazoendelea hapa nchini na Duniani kwa...
View ArticleMsanii Wakazi ajitosa kwenye Ubunge Kupitia Chama Cha ACT-Wazalendo
Msanii wa HipHop Bongo Wakazi ametia nia ya kugombea ubunge katika jimbo la Ukonga kupitia chama cha ACT- Wazalendo kwenye uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba mwaka huu. Wakazi ameeleza nia hiyo leo Juni 20,...
View ArticleAliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Zanzibar Jecha Salum Jecha Ajitosa...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Zanzibar Jecha Salum Jecha, amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar katika uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba. Jecha anakuwa mwanachama...
View ArticleWanajeshi wa JWTZ waenda kutoa lori lililotumbukia Mto Wami ....Mmiliki wa...
Jeshi la Wananchi wa Tanzania limetuma timu ya wataalamu kwenda kutoa lori la mizigo ambalo limetumbukia katika Daraja la Mto Wami kwa zaidi ya wiki moja na kushindikana kutolewa .Kiongozi wa timu hiyo...
View ArticleWaziri Simbachawene Ampongeza Cgp Kwa Mabadiliko Makubwa Magereza, Azindua...
Na Felix Mwagara, MOHA, Morogoro.WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema kasi ya utendaji kazi wa Kamishna Generali wa Jeshi la Magereza Nchini, (CGP) Suleiman Mzee, imemfurahisha...
View ArticleCorona imeleta fursa ya kuboresha huduma za afya nchini- Waziri wa afya Ummy...
Na.WAMJW, Dar es SalaamWaziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema kuwapo kwa ugonjwa wa Corona nchini, imeleta fursa ya kuboresha huduma za afya katika vituo...
View Article