Waziri Wa Kilimo Aitaka TARI Kufanya Tafiti Zinazolenga Kuongeza Tija Na...
Katika Kipindi cha Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. John Pombe Magufuli uzalishaji wa chakula umeendelea kuimarika na hivyo kuiwezesha nchi...
View ArticleNdayishimiye aapishwa kuwa rais mpya wa Burundi, aahidi kuliunganisha taif
Evariste Ndayishimiye aliyeshinda uchaguzi mkuu wa hivi karibuni nchini Burundi ameapishwa jana Alhamisi kuwa rais mpya wa nchi hiyo, kufuatia kifo cha ghafla cha Rais Pierre Nkurunziza.Hafla ya...
View ArticleMloganzila Yaanzisha Rasmi Huduma Za Kuvunja Mawe Kwenye Figo
Na Lightness Mndeme, MuhimbiliHospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imeanza kutoa huduma ya matibabu ya kuvunja mawe kwenye figo na mfumo wa mkojo kwa njia ya mawimbi mshituko kwa kitaalam...
View ArticleViongozi wa Dini Wampongeza JPM kwa Uongozi Uliotukuka
Na. Immaculate Makilika- MAELEZOViongozi wa dini jijini Dodoma wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kwa uongozi wake uliotukuka.Akizungumza jana jijini...
View ArticleMigogoro ya Wachimbaji Hutatuliwa Kisheria- Naibu Waziri Wa Madini
Na Issa Mtuwa – Chamwino DodomaImeelezwa kuwa, utatuzi wa migogoro ya wachimbaji wadogo wa madini hutatuliwa kwa kufuata Sheria na taratibu zinazosimamia sekta ya Madini. Utatuzi huo hufanywa pasipo...
View ArticleSerikali Kuongeza Idadi Ya Ndege Kubeba Minofu Ya Samaki
Serikali imewaahidi wafanyabiashara wa minofu ya samaki kuongeza idadi ya mashirika ya ndege yatakayosafirisha mzigo huo ili kuwafikia walaji kwa wakati.Kauli hiyo imetolewa jijini Dodoma na Waziri wa...
View ArticleBolton amshutumu Trump kwa kutafuta msaada wa China ili aweza kuchaguliwa tena
Mshauri wa zamani wa rais wa Marekani Donald Trump kuhusu usalama wa kitaifa, John Bolton amemshutumu rais Trump kwa kutafuta msaada kutoka China ili aweze kushinda uchaguzi wa urais uliopangwa...
View ArticleUjenzi Miradi Ya Nhc Wamkuna Naibu Waziri Mabula
Na Munir Shemweta, WANMM KILIMANJARONaibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amelipongeza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kwa kuweza kukamilisha ujenzi wa miradi ya...
View ArticleJumla Ya majalada 23 Ya Rushwa Ya Ngono Yafunguliwa
Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma.Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), imefungua majalada 23 ya kesi za rushwa ya ngono, kumi kati ya hizo zikisikilizwa na tano kushinda katika mikoa...
View ArticleMahakama Haiwezi Kuwa Huru Bila Ya Uwajibikaji Na Maadili: Jaji Mkuu
Na Lydia Churi-Mahakama, DodomaJaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma amesema uhuru wa Mahakama hauwezi kukamilika endapo watumishi wake hawatazingatia suala la uwajibikaji na Maadili...
View ArticleTAKUKURU Manyara yawafikisha mahakamani watendaji wawili kwa kuomba na...
Na John Walter-ManyaraTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilayani Simanjiro mkoani Manyara kwa kushirikiana na jeshi la polisi wilayani humo, imemfikisha katika Mahakama ya Wilaya ya...
View ArticleWaziri wa Maji Profesa Makame Mbarawa Ajitosa Kugombea Urais Zanzibar
Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarawa, amechukua fomu ya kuwania urais Zanzibar katika uchaguzi mkuu mwezi Oktoba kupitia Chama cha Mapinduzi CCM.Mbarawa amekuwa mwanachama wa kumi wa Chama Cha...
View ArticleMwanamke wa Kwanza Ajitosa Kugombea Urais Zanzibar Kupitia CCM
Mwantum Mussa Sultan amechukua fomu ya kugombea Urais Zanzibar na anakuwa Mwanamke wa kwanza kujitosa kwenye kinyang’anyiro cha Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),Mwantuma amechukua...
View ArticleKutana na Mtabibu Mtaalamu Wa Nyota Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH
Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH mjukuu wa chiffu segere Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili ya Africa Mwenye UWEZO Kubaini tatizo lako Pindi tu Utakapo fanya mawasiliano...
View ArticleNHC Yapunguza Gharama Za Mauzo Ya Viwanja Vyake Mradi Wa Safari City Arusha
Na Munir Shemweta, WANMM ARUSHAShirika la Nyumba la Taifa (NHC) limebadilisha viwango vya bei za kuuzia viwanja vyake kwenye mradi wa Safari City mkoani Arusha kwa kutoa punguzo la asilimia 40% kwa...
View ArticleSekta Binafsi Yachangia Serikali Bilioni 2.1 Kwa Ajili Ya Kuboresha Sekta Ya...
Na. WAMJW-DSMSerikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepokea kiasi cha shilingi bilioni 2.1 kwa ajili ya kuboresha huduma za afya kwenye vituo vya kutolea huduma...
View ArticleTume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Yatoa Tamko la Kumpongeza...
TAMKO LA THBUB KUMPONGEZA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI KWA HOTUBA YA KULIFUNGA BUNGE LA 11 ALIYOITOA KATIKA UKUMBI WA BUNGE, DODOMA TAREHE 16...
View ArticleMsajili: Vyama vya siasa venye lengo la kushirikiana uchaguzi mkuu...
Na Mwandishi Wetu.Vyama vya Siasa ambavyo vinatarajia kushirikiana wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu bila kufuata Sheria ya Vyama vya Siasa kama ilivyoainishwa kwenye Kifungu Na.11 (a) cha...
View Article