Makamu Wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan Kuongoza Ujumbe Wa Tanzania Katika...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuongoza ujumbe wa Tanzania kwenda Nchini Burundi kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Mteule wa Burundi Mhe...
View ArticleTangazo: Uongozi wa shule za lake tanganyika secondary na English medium...
TANGAZO! TANGAZO!TANGAZOUongozi wa shule za lake tanganyika secondary na English medium inapenda kuwatangazia nafasi za masomo kama ifuatavyo,==>>Nafasi za kuhamia kwa kidato cha kwanza na...
View ArticleWaziri Wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dr Hussein Mwinyi Ajitosa Kugombea...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa katika serikali ya awamu ya Tano Dkt.Hussein Mwinyi achukua fomu kwa lengo la kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar katika ofisi za chama cha Mapinduzi (CCM)...
View ArticleNGO Wekeni Wazi Matumizi Ya Fedha Za Wafadhili
Na Mwandishi Wetu DodomaWaziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ameyataka Mashirika Yasiyo ya Kiserikali nchini kuzingatia Uwazi katika matumizi ya fedha za wafadhili...
View ArticleBREAKING: Orodha Ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato Cha Tano Na Vyuo...
Na Faustine GimuWAZIRI wa Nchi,Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI)SELEMANI JAFO amesema jumla ya wanafunzi elfu 73,101 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano mwaka 2020 na...
View ArticleTAKUKURU Yatahadharisha Rushwa Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020....Yasema...
Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma.MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na kupambana na rushwa nchini TAKUKURU,Brigedia Jenerali John Mbungo amewatahadharisha wanasiasa wa nafasi mbalimbali za uongozi...
View ArticleWagonjwa wa Corona Kenya Wafika 4044
Kenya imerekodi idadi kubwa ya maambukizi mapya katika muda wa saa 24 baada ya maambukizi mapya 184 kuthibitishwa na kufanya idadi ya walioambukizwa kufikia 4044.Naibu Waziri wa Afya Rashid Aman...
View ArticleKorea Kaskazini kuongeza idadi ya askari wake karibu na eneo la mpaka wa...
Korea Kaskazini inapanga kurejesha mazoezi ya kijeshi kwenye mpaka wake na Korea Kusini na kuwapeleka wanajeshi katika maeneo ambayo awali yalikuwa vituo vya pamoja ya viwanda na utalii, wakati mzozo...
View ArticleNHC Yapunguza Gharama Za Mauzo Ya Viwanja Vyake Mradi Wa Safari City Arusha
Na Munir Shemweta, WANMM ARUSHAShirika la Nyumba la Taifa (NHC) limebadilisha viwango vya bei za kuuzia viwanja vyake kwenye mradi wa Safari City mkoani Arusha kwa kutoa punguzo la asilimia 40% kwa...
View ArticleRais wa Syria Assad na mkewe wawekewa vikwazo na Marekani
Marekani imewawekea vikwazo watu na makampuni 39 akiwemo Rais wa Syria, Bashar al-Assad na mkewe Asma vya kuzuia mapato ya serikali yake katika jitihada ya kuishinikiza Syria kurejea katika mazungumzo...
View ArticleSerikali Kuwachukulia Hatua Kali Za Kisheria Wafanyabiashara Wa Mafuta...
Na Eliud Rwechungura – Wizara ya Viwanda na Biashara.Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa amezielekeza FCC, EWURA, WMA kufanya ukaguzi na kuwachukulia hatua wafanyabiashara na...
View ArticleUHAMIAJI Yawatia Mbaroni Watuhumiwa 03 Wanaofanya Shughuli za Kughushi Huduma...
Idara ya Uhamiaji Tanzania inawashikilia Watuhumiwa watatu (3) wanaojihusisha na vitendo vya kughushi huduma mbalimbali za kiuhamiaji.Akiongea na Waandishi wa Habari mapema leo hii katika Ofisi ndogo...
View ArticleMahakama Yaipa Serikali Siku 7 Kesi Ya Tundu Lissu
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, inatarajia kuanza kusikiliza maombi ya wadhamini wa aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ambao wanataka mshtakiwa huyo akamatwe ili wajitoe...
View ArticleTaasisi Za Utoaji Haki Zatakiwa Kushirikiana Katika Vita Dhidi Ya Rushwa
Na Lydia Churi- DodomaJaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma amezitaka taasisi zote za utoaji haki nchini kushirikiana katika mapambano dhidi ya vitendo vya rushwa ili zifanikiwe....
View ArticleFelix Mkosamali Ahama NCCR- Mageuzi na Kutimkia CHADEMA
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Muhambwe Mkoani Kigoma kupitia Nccr-Mageuzi Felix Mkosamali, amekihama chama cha NCCR-Mageuzi na kujiunga na Chadema nakutangaza nia ya kuwania ubunge wa Jimbo la Muhambwe...
View ArticleTatizo la kuishiwa nguvu za kiume na maumbile kusinyaa limekuwa tatizo kwa...
Je umeachwa? Na mke /mume,mchumba na bado unampenda ? Kunamtu unamtaka unashindwa kumwambia? Wasiliana na mtalamu humuvuta mume, mke,mchumba na mtu yeyote unaye mtaka katika mahusiano na kumfanya...
View ArticleTumefanya Maboresho Kwenye App Yetu ya Mpekuzi Ili Kukuwezesha Kupata Habari...
Tumefanya maboresho katika App yetu ya MPEKUZI ili kuendana na changamoto ya sasa ya janga la Corona inayoikumba dunia NzimaUsikubali kupitwa na taarifa muhimu zinazoendelea hapa nchini na Duniani kwa...
View ArticleSerIkali Yaifungia Timu Ya JKT Tanzania Kuingia Na Mashabiki.
Serikali imezuia timu ya Jkt Tanzania kucheza na mashabiki uwanjani katika mechi zake zote zilisosalia kwenye Ligi Kuu Soka Tanzania Bara msimu huu, kutokana na kukiukwa kwa mwongozo wa Wizara Ya Afya...
View ArticleChina yaionya India baada ya New Delhi kudai wanajeshi wake 20 wameuliwa na...
Msemaji wa Jeshi la China ametoa onyo kali kwa India kuhusu vitendo vyake vya kichokozi katika eneo la mpaka wa nchi hizo mbili.Msemaji wa Jeshi la China, Kanali Zhang Shuili katika eneo la kivita la...
View Article