TANGAZO! TANGAZO!TANGAZO
Uongozi wa shule za lake tanganyika secondary na English medium inapenda kuwatangazia nafasi za masomo kama ifuatavyo,
==>>Nafasi za kuhamia kwa kidato cha kwanza na tatu,
==>>Nafasi za kujiunga na kidato cha tano kwa mwaka wa masomo 2020/2021
Shule ina mazingira mazuri sana ya kumwezesha mtoto kujifunza,pia kuna walimu wa kutosha
Karo zetu ni nafuu sana na zinalipwa kwa awamu nne kwa mwaka
Kidato cha kwanza hadi cha nne karo ni 700000/= kwa mwaka na inalipwa 175000 kwa kila robo muhula na kwa kidato cha tano na sita 750000/= inalipwa 187500 kwa kila robo muhula kwa mwaka
Tahasusi zinazotolewa shuleni ni HKL,HGK na HGL kwa sifa zifuatazo awe na credit tatu za masomo yoyote yale ,asiwe na F kwenye tahasusi anayosoma
Shule inafanya vizuri sana kwenye mitihani ya kitaifa na kushika nafasi za juu kumkosa
Shule inafunguliwa 18/7/2020 kwa wanafunzi wa kidato cha tano
Kwa mawasiliano zaidi fika shuleni au piga simu no
0769697667,0627557839,0763091810,0713221620