Tanzania Yatajwa kuwa nchi ya kwanza kwa utulivu na amani katika Ukanda wa...
Tanzania imetajwa kuwa nchi ya kwanza kwa utulivu na amani katika Ukanda wa Afrika Mashariki, pia imeshika nafasi ya saba katika nchi zilizo Kusini mwa Jangwa la Sahara..Kauli hiyo ameitoa leo tarehe...
View ArticleBREAKING NEWS : Rais Magufuli Atangaza kufungua shule zote zilizokuwa...
Rais Magufuli ametangaza kufungua shule zote nchini na shughuli zingine za kijamii zilizokuwa zimesitishwa kisa ugonjwa wa CoronaRais Magufuli ametoa kauli hiyo leo Jumanne June 16, 2020 wakati...
View ArticleTatizo la kuishiwa nguvu za kiume na maumbile kusinyaa limekuwa tatizo kwa...
Je umeachwa? Na mke /mume,mchumba na bado unampenda ? Kunamtu unamtaka unashindwa kumwambia? Wasiliana na mtalamu humuvuta mume, mke,mchumba na mtu yeyote unaye mtaka katika mahusiano na kumfanya...
View ArticleTumefanya Maboresho Kwenye App Yetu ya Mpekuzi Ili Kukuwezesha Kupata Habari...
Tumefanya maboresho katika App yetu ya MPEKUZI ili kuendana na changamoto ya sasa ya janga la Corona inayoikumba dunia NzimaUsikubali kupitwa na taarifa muhimu zinazoendelea hapa nchini na Duniani kwa...
View ArticleWatumishi Wawili Wa Tra Manyara Wapandishwa Kizimbani Kwa Makosa Ya Rushwa
Na John Walter-BabatiTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Manyara imewafikisha katika Mahakama ya wilaya ya Babati, Eva Joseph Mtandika na Jackline Leonard Manjira kujibu...
View ArticleKorea Kaskazini yalipua ofisi ya pamoja na Korea Kusini....Jeshi Lawekwa...
Korea Kaskazini imesema inaliweka jeshi lake katika hali ya tahadhari ya kivita, ikiwa ni muda mfupi baada ya kulipua ofisi ya pamoja kati yake na Korea Kusini, ikiituhumu Korea Kusini kuruhusu...
View ArticleGari ya TANAPA yagonga na kuua Watatu wilayani Babati.
Na John Walter-BabatiWatu watatu wamekufa katika ajali ya barabarani iliyotokea katika kata ya Mamire wilayani Babati mkoani Manyara.Akitoa taarifa leo June 16.2020, Kamanda wa polisi mkoa wa Manyara...
View ArticleRC Mongella Awataka Wafanyabiashara Kulipa Kodi Kwa Wakati
Na Veronica KazimotoMkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella amewataka wafanyabiashara kutumia fursa ya kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayoendelea mkoani hapa kulipa kodi kwa wakati ili kuiwezesha...
View ArticleTamko la Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) wakati wa...
Tamko la Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika Juni 16, 2020Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) inaungana na wadau wote wa haki...
View ArticleElimu Ni Muhimu Kudhibiti Sumukuvu Nchini
Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa sekta ya Kilimo wamekutana kupitia rasimu ya Mkakati wa Kitaifa wa Mawasiliano ya kudhibiti sumukuvu ili kuwezesha jitihada za kukabililiana na...
View ArticleBreaking: Rais Magufuli Achukua Form Ya Kugombea Urais
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Rais John Magufuli, leo amechukua fomu za kuwania kuteuliwa na chama chake kushiriki katika kinyang’anyiro cha urais katika uchaguzi mkuu ujao.Rais...
View ArticleWaziri wa Elimu Prof Ndalichako, atangaza ratiba za mitihani na masomo
Kutokana na Rais Dk John Magufuli jana kutangaza kufungua Shule zote ifikapo Juni 29, leo Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Prof Joyce Ndalichako ametangaza ratiba ya masomo na mitihani kwa ajili...
View ArticleChina yaionya India baada ya New Delhi kudai wanajeshi wake 20 wameuliwa na...
Msemaji wa Jeshi la China ametoa onyo kali kwa India kuhusu vitendo vyake vya kichokozi katika eneo la mpaka wa nchi hizo mbili.Msemaji wa Jeshi la China, Kanali Zhang Shuili katika eneo la kivita la...
View ArticleKituo cha utafiti wa kilimo nchini (TARI) Chachagua Viwanja Vya Nanenane...
Na Stella Kalinga, Simiyu RSKituo cha utafiti wa kilimo nchini (TARI) kimechagua eneo la viwanja vya maonesho ya nane nane vilivyopo kata ya Nyakabindi wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu kuwa kituo...
View ArticleTamko La Waziri Zungu - Siku Ya Kupambana Kuenea Kwa Jangwa Na Ukame
TAMKO LA MHE. MUSSA AZZAN ZUNGU (MB.), WAZIRI WA NCHI - OFISI YA MAKAMU WA RAIS, MUUNGANO NA MAZINGIRA KWA UMMA KUHUSU MAADHIMISHO YA KIMATAIFA YA SIKU YA KUPAMBANA NA KUENEA KWA HALI YA JANGWA NA...
View ArticleTatizo la kuishiwa nguvu za kiume na maumbile kusinyaa limekuwa tatizo kwa...
Je umeachwa? Na mke /mume,mchumba na bado unampenda ? Kunamtu unamtaka unashindwa kumwambia? Wasiliana na mtalamu humuvuta mume, mke,mchumba na mtu yeyote unaye mtaka katika mahusiano na kumfanya...
View ArticleJumla ya wanachama 11 wa CHADEMA Wajitokeza kugombea Urais katika uchaguzi...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), leo Juni 17, 2020, kimetangaza majina ya Wanachama wake 11 walioomba kuteuliwa na Chama hicho kugombea nafasi ya Urais katika Uchaguzi Mkuu mwezi...
View ArticleWaziri Ummy Aitaka Bodi Mpya Ya Tmda Kuwezesha Ukuaji Wa Uchumi Na Ushamiri...
Na WAMJW-DODOMABodi mpya ya ushauri ya Wizara ya Afya kwa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imetakiwa kuisimamia mamlaka hiyo na kuacha kufanya kazi ya kipolisi kwa wenye viwanda vidogo na vya kati...
View ArticleWaziri Mkuu Kassim Majaliwa Atia Sani Kitabu Cha Maombolezo Kifo Cha Nkurunziza
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Juni 17, 2020 ametia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza na kutoa pole kwa wananchi wa nchi hiyo kwa niaba ya Rais Dkt....
View Article