Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wafanyakazi wanne wa Ikulu ya Rais wa Kenya Wapata Corona....Maambukizi...

Wafanyakazi wanne wa Ikulu ya rais nchini Kenya wamepatikana na virus vya corona.Kwa mujibu wa msemaji wa Ikulu Kanze Dena, wafanyakazi hao waligunduliwa wameambukizwa COVID-19 baada ya kufanyiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu Ataja Mafanikio Makubwa Ya Awamu Ya Tano

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika kipindi cha miaka mitano imepata mafanikio mbalimbali ikiwemo kurekebisha nidhamu kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Yanga Yavunja mkataba na Katibu Mkuu wake David Ruhago

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu: Wagonjwa Wa Corona Nchini Wamebaki 66 tu, Anayestahili Sifa Ni...

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema maambukizi ya homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) kwa sasa yamepungua na idadi ya wagonjwa waliopo nchini hadi leo ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali Itakamilisha Miradi Yote Ya Kipaumbele-Waziri Mkuu

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itatoa msukumo wa kipekee katika kukamilisha miradi ya kipaumbele na kimkakati inayoendelea kutekelezwa na Serikali ya Awamu ya Tano ili wananchi waendelee...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu: Idadi Ya Wapigakura Yaongezeka Uchaguzi Mkuu 2020

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema idadi ya wananchi waliojiandikisha kupiga kura imeongezeka ambapo wapiga kura halali kwa mwaka huu ni 29,804,992 ikilinganishwa na wapiga kura 23,161,440 wa mwaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Kuhutubia na Kuvunja Bunge Kesho

Na Jonas Kamaleki-MAELEZOSpika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli anatarajia kulihutubia na kulivunja Bunge la 11 jijini Dodoma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson atangaza kugombea ubunge

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson leo ametangaza nia ya kugombea Ubunge, katika jimbo ambalo hakulitaja na kusema kuwa muda ukifika atatoa taarifa ya wapi ataenda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Freeman Mbowe Ajitosa Kugombea Urais wa Tanzania

Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe  leo Juni 15, 2020, ameandika barua ya kutia nia kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho.Mbowe ametia nia hiyo leo Jumatatu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne June 16

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hotuba Ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Wa Kuhitimisha Shughuli Za Mkutano Wa...

HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAKATI WA KUHITIMISHA SHUGHULI ZA MKUTANO WA KUMI NA TISA WA BUNGE1.           MheshimiwaSpika, naomba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Waziri Wa Afya Ummy Mwalimu Awasihi Wazazi Kuwasimamia Watoto Katika...

Na Mwandishi Wetu DodomaWaziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amewataka wazazi kuwasimamia watoto katika matumizi ya vifaa vya keletroniki ili kuwaepusha kujiingiza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uhusiano Kati Ya Punyeto Na Kusinyaa/kunywea Kwa Maumbile Ya Kiume

Zipo sababu kuu 2 kwanini wanaume walio jihusisha na punyeto kwa muda mrefu maumbile yao husinyaa na  kunywea kiasi cha  kuyafanya yaonekane    kama maumbile  ya mtoto.SABABU YA KWANZA:Tendo la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanajeshi 40 wa Mali wauawa katika shambulizi la kuvizia

Jeshi nchini Mali, linasema maafisa wake wameauwa na wengine hawajuliakani walipo baada ya kushambuliwa na wanajihadi, katikati ya nchi hiyo.Ripoti zinasema kuwa, wanajeshi wa nchi hiyo zaidi ya 60...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NCCR- Mageuzi Watangaza Ratiba Ya Mchakato Wa Uchaguzi

Chama cha NCCR-Mageuzi kimetangaza ratiba ya kuchukua na kurejesha fomu za kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika Serikali kuelekea uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka huu katika chama hicho...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Trump kupunguza wanajeshi wa Marekani walioko Ujerumani

Rais Donald Trump amesema atapunguza nusu ya idadi ya wanajeshi wake walioko Ujerumani kwa sababu Ujerumani haitoi mchango wake kifedha ipasavyo ili kufadhili shughuli za Jumuiya ya Kujihami ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wimbo Mpya wa Mbosso – Tamba Magufuli

AUDIO | Mbosso – Tamba Magufuli

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali Imeendelea Kutekeleza Makubaliano Yakimataifa Katika Mapambano Dhidi...

Na WAMJW-DOM.Serikali kupitia Wizara ya Afya imeendelea kutekeleza makubaliano ya kitaifa na kimataifa juu ya mapambano dhidi ya VVU na UKIMWI nchini kwa kuweka mipango inayolenga kuzuia maambukizi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Kulihutubia na Kulifunga Bunge Leo Kuanzia Saa nne Asubuhi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 16 Juni, 2020 atalihutubia na kulifunga Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia 4:00 asubuhi hii....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LIVE toka Bungeni DODOMA Rais Magufuli Akilihutubia na Kulivunja Bunge

==>>LIVE   toka   Bungeni   DODOMA   Rais  Magufuli Akilihutubia na Kulivunja Bunge. Tazama tukio hilo hapo chini

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>