Waziri Mkuu: Tutaendeleakuchukua Hatua Kwa Watakaokatisha Masomo Kwa Watoto...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kuchukua hatua kali kwa watu wote watakaothibitika kufanya vitendo vya kuwakatisha watoto wa kike ndoto za masomo ikiwemo kuwafunga jela miaka...
View ArticleKorea Kaskazini Yatishia Kubomoa Ofisi ya Uhusiano Kati Yake na Korea Kusini
Korea Kusini imefanya mkutano wa usalama wa dharura leo na kuihimiza Korea Kaskazini kuzingatia makubaliano ya maridhiano, saa kadhaa baada ya Korea Kaskazini kutishia kubomoa ofisi ya uhusiano na...
View ArticleWaziri Ummy Azitaka Hospitali Zote Nchini Kuacha Kuwadai Damu Wagonjwa Kabla...
NA WAJMW-DODOMAWaziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu ameziagiza Hospitali zote nchini za Serikali na binafsi, Zahanati na Vituo vya Afya kuacha kuwadai damu...
View ArticleWachezaji Wa Mashindano Ya Diplomatic Golf' Wamuaga Mkurugenzi Mkaazi Wa WFP
Wachezaji wa Mashindano ya Diplomatic Golf mchezo ambao unaoratibiwa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, wamemuaga mchezaji mwenzao ambae pia ni Mkurugenzi mkaazi wa Shirika...
View ArticleUhusiano Kati Ya Punyeto Na Kusinyaa/kunywea Kwa Maumbile Ya Kiume
Zipo sababu kuu 2 kwanini wanaume walio jihusisha na punyeto kwa muda mrefu maumbile yao husinyaa na kunywea kiasi cha kuyafanya yaonekane kama maumbile ya mtoto.SABABU YA KWANZA:Tendo la...
View ArticleRC Makonda Awataka UVCCM Kusimama Kidete Kukipigania Chama Cha Mapinduzi.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewataka Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM), kukilinda chama hicho na kuyaeleza maendeleo yaliyofanywa na Rais Dk. John Maguguli katika kipindi cha miaka...
View ArticleSerikali Yazielekeza Taasisi Za Umma Kuadhimisha Wiki Ya Utumishi Wa Umma...
Na: James Mwanamyoto – DodomaTaasisi za umma nchini zimeelekezwa kuadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma mwaka 2020 kwa kudumisha ushirikiano na wananchi na wadau, ili kuweka mazingira wezeshi ya utoaji...
View ArticleTumefanya Maboresho Kwenye App Yetu ya Mpekuzi Ili Kukuwezesha Kupata Habari...
Tumefanya maboresho katika App yetu ya MPEKUZI ili kuendana na changamoto ya sasa ya janga la Corona inayoikumba dunia NzimaUsikubali kupitwa na taarifa muhimu zinazoendelea hapa nchini na Duniani kwa...
View ArticleMufti Mkuu atangaza kufunguliwa madrasa zilizokuwa zimefungwa kisa Corona
Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zuberi, ametangaza kufunguliwa rasmi kuanzia jana kwa madrasa, zilizofungwa kutokana na mlipuko wa virusi vya corona (Covid 19).Sheikh Zuberi, alitoa kauli hiyo jana...
View ArticleTatizo la kuishiwa nguvu za kiume na maumbile kusinyaa limekuwa tatizo kwa...
Je umeachwa? Na mke /mume,mchumba na bado unampenda ? Kunamtu unamtaka unashindwa kumwambia? Wasiliana na mtalamu humuvuta mume, mke,mchumba na mtu yeyote unaye mtaka katika mahusiano na kumfanya...
View ArticleBaba aliyetaka kuozesha mwanafunzi wa miaka 12 atiwa mbaroni
Jeshi la Polisi mkoani Arusha, limefanikiwa kuzima jaribio la mwanafunzi wa shule ya msingi mwenye umri wa miaka 12,aliyetaka kuozeshwa na wazazi wake.Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, Jonathan...
View ArticleMbunge ‘Bwege’ Atangaza Kuhamia ACT Wazalendo
Mbunge wa Jimbo la Kilwa Kusini, Selemani Bungara maarufu kwa jina la Bwege ametangaza kukihama Chama Cha Wananchi Cuf na kuhamia Chama cha ACT Wazalendo mara baada ya bunge kuvunjwa hapo kesho Jumanne...
View ArticleBalozi Ali Karume Ajitosa Kugombea Urais Zanzibar
Balozi Ali Karume amechukua fomu kuwania kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mgombea wa Urais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu ujao.Akizungumza na waandishi wa habari mjini Unguja, Balozi...
View ArticleUhusiano Kati Ya Punyeto Na Kusinyaa/kunywea Kwa Maumbile Ya Kiume
Zipo sababu kuu 2 kwanini wanaume walio jihusisha na punyeto kwa muda mrefu maumbile yao husinyaa na kunywea kiasi cha kuyafanya yaonekane kama maumbile ya mtoto.SABABU YA KWANZA:Tendo la...
View ArticleBajeti ya serikali kwa mwaka 2020/2021 yapita kwa Kura Nyingi
Wabunge wamepitisha bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha wa 2020/2021 ya jumla ya shilingi Trilioni 34.88.Bajeti hiyo imepitishwa kwa kura 304 za ndio kati ya kura 371 zilizopigwa na wabunge...
View ArticleWaliokuwa viongozi wa Chama Kikuu cha Usirika Rukwa Matatani tena
Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Rukwa Hamza Mwenda amekabidhiwa ripoti ya Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO) nchini na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh....
View ArticleWatumishi Wawili Wa Tra Manyara Wapandishwa Kizimbani Kwa Makosa Ya Rushwa
Na John Walter-BabatiTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Manyara imewafikisha katika Mahakama ya wilaya ya Babati, Eva Joseph Mtandika na Jackline Leonard Manjira kujibu...
View ArticleWabunge Watatu Wa Viti Maalum CHADEMA Wajiunga CCM
Wabunge watatu wa Viti Maalumu Kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo -CHADEMA wametangaza kuachana na chama hicho na kuomba kujiunga na CCMWabunge hao wametangaza uamuzi huo leo Jumatatu June 15,...
View ArticleUchumi wa Tanzania Haujawahi Kushuka kwa Miaka 10 Iliyopita – Dkt. Abbasi
Na Jacquiline Mrisho-MAELEZOSerikali imesema kuwa uchumi wa Tanzania haujawahi kushuka kwa kipindi cha miaka 10 iliyopita ikiwa ni malengo ya nchi iliyojiwekea kwa muda wa kati na mrefu kwamba uchumi...
View Article