Rwanda Yatangaza Maombolezo Ya Kitaifa Kufatia Kifo cha Rais wa Burundi...
Rais wa Rwanda Paul Kagame ametangaza maombolezo ya Kitaifa Rwanda kufuatia kifo cha Nkurunziza na ameagiza Bendera ya Rwanda na ya Jumuiya ya Afrika Mashariki zote zipeperushwe nusu mlingoti nchini...
View ArticleRiwaya Kali ya Kusisimua....SIN- Sehemu Ya 16
Mwandishi- EDDAZARIA G.MSULWAAge-18+Simu-0657072588(whatsapp) au 0768516188ILIPOISHIA“Kamera na sound record katika chumba hicho zote zime zimwa kwa hiyo utakacho kizungumza hapo kitaishia ndani humo....
View ArticleAjali ya gari aina ya daladala kugonga Treni na kusababisha kifo na majeruhi.
Mnamo Tarehe 12.6.2020 majira ya saa 17.20hrs huko maeneo ya Mwakanga kwenye makutano ya njia ya reli na barabara itokayo Chanika kwenda Pugu wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es Salaam, treni ya abiria...
View ArticleNafasi ya teknolojia ya kidijitali katika kuendeleza uchumi wa Tanzania
Na Martin Nyeka UDBS Katika miaka mitano iliyopita, idadi ya watumiaji wa simu katika eneo la Afrika, Kusini mwa Jangwa la Sahara imeongezeka mara dufu. Kwa mujibu wa GSMA (Shirika la Kimataifa la...
View ArticleFreeman Mbowe Aruhusiwa Kutoka Hospitali
Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni nchini Tanzania, Freeman Mbowe ameruhusiwa kutoka Hospitali ya Aga Khani jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa kwa matibabu. Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti...
View ArticleWaliokuwa viongozi wa Chama Kikuu cha Usirika Rukwa Matatani tena
Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Rukwa Hamza Mwenda amekabidhiwa ripoti ya Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO) nchini na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh....
View ArticleMgodi Wa Irasaniro Wauwa Wachimbaji Wadogo
Na Issa Mtuwa – “Wizara ya Madini” MaraVifo vya Wachimbaji wadogo Wawili wa madini na majeruhi Nane vilivyotokea katika kijiji cha Magunga Wilaya ya Butiama, vimemfadhahisha Waziri wa Madini Doto...
View ArticleChadema wajibu mapigo kwa Ole Sendeka..... “Dhamira yetusio madiwani pekee...
Na Amiri Kilagalila,NjombeChama cha Demokrasia na maendeleo Chadema mkoa wa Njombe kimesema kinaamini ushindi mkubwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Njombe kwa kuwa wamejipanga kikamilifu licha ya...
View ArticleSerikali yatishia kukifuta chama cha wafugaji nchini
Serikali imetishia kukifuta chama cha wafugaji nchini kutokana na kukaidi maelekezo yaliyotolewa na wizara ya mambo ya ndani kuhusu maandalizi ya kuelekea uchaguzi wa viongozi wa chama hicho unaotaraji...
View ArticleNaibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel Apiga Marufuku Ramli Chonganishi
Na WAMJW- DOMNaibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amepiga marufuku tabia za Waganga wa tiba asili kupiga ramli chonganishi kwa lengo la kuwasaidia...
View ArticleNaibu Waziri Mabula Ataka Upimaji Maeneo Ya Migodi Kuepuka Migogoro
Na Munir Shemwta, WANMM GEITANaibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amezitaka halmashauri nchini kupitia idara zake za ardhi kuhakikisha zinapima maeneo yote yenye...
View ArticleMchungaji Msigwa Atangaza Rasmi Nia ta Kugombea Urais 2020
Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma.Mbunge wa Iringa Mjini ,Mchungaji Peter Msigwa ametangaza Rasmi kuwania Urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba Mwaka huu.Akizungumza na Waandishi wa Habari...
View ArticleTatizo la kuishiwa nguvu za kiume na maumbile kusinyaa limekuwa tatizo kwa...
Je umeachwa? Na mke /mume,mchumba na bado unampenda ? Kunamtu unamtaka unashindwa kumwambia? Wasiliana na mtalamu humuvuta mume, mke,mchumba na mtu yeyote unaye mtaka katika mahusiano na kumfanya...
View ArticleKikwete Aomboleza Kifo Cha Rais Wa Burundi Pierre Nkurunzinza
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete leo Juni 14, 2020 ameomboleza kifo cha aliyekuwa Rais wa Burundi Marehemu Pierre Nkurunzinza kwa kusaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Burundi jana jijini...
View ArticleWatanzania 57 Warejea Kutoka Afrika Kusini Na 38 Kutoka Misri
Watanzania 57 waliokuwa wamekwama nchini Afrika Kusini kutokana na janga la virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID 19 baada ya nchi hiyo kufunga mipaka yake hatimae wamerejea...
View ArticleNaibu Waziri wa Mambo ya Nje Dkt. Ndumbaro Asaini Kitabu Cha Maombolezo Cha...
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) amesaini kitabu cha maombolezo katika ubalozi wa Burundi nchini kufuatia kifo cha Rais wa Taifa hilo Pierre...
View ArticleTumefanya Maboresho Kwenye App Yetu ya Mpekuzi Ili Kukuwezesha Kupata Habari...
Tumefanya maboresho katika App yetu ya MPEKUZI ili kuendana na changamoto ya sasa ya janga la Corona inayoikumba dunia NzimaUsikubali kupitwa na taarifa muhimu zinazoendelea hapa nchini na Duniani kwa...
View ArticleLazaro Nyalandu Ajitosa Kugombea Urais Kuoitia CHADEMA
Lazaro Nyalandu, ametangaza kutia nia ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) huku akibainisha vipaumbele 25 atakavyovifanya ndani ya siku 100 endapo...
View Article