Mkurugenzi Mtendaji wilaya ya Simanjiro amuumbua Mfanyabiashara alietaka...
Na John Walter-ManyaraTAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Manyara, imemfikisha kwenye Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro, Mwenyekiti wa wafanyabiashara wa soko la Mirerani, Yesaya...
View ArticleManispaaya Sumbawanga yang’ara kimapato huku wakipata hati safi kwa miaka mitatu
Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga imeendelea kung’aa kwa kuvuka malengo ya makusanyo ya mapato katika kipindi cha miaka miwli mfululizo huku ikiendelea kupata hati safi kwa kipindi cha miaka mitatu...
View ArticleBarabara za lami katika Mji wa Serikali kugharimu zaidi ya Bilioni 89
Na. Frank Mvungi na Immaculate Makilika - MAELEZORais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara za kiwango cha lami katika mji wa...
View ArticleAua wakwe zake (mme na mke) kwa tuhuma za ushirikina
Na Amiri kilagalila,NjombeKijana aliyejulikana kwa jina la Patrick Ngailo mkazi wa Mlangali wilayani Ludewa mkoani Njombe,anashikiliwa na jeshi la Polisi kwa tuhuma za mauaji ya wakwe zake (mme na mke)...
View ArticleCHADEMA Wataja Maendeleo Ya Freeman Mbowe
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe anaendelea kupata uangalizi wa ziada chini ya Madaktari na Wauguzi wa Hospitali ya Aga Khan, baada ya...
View ArticleRais Magufuli azungumza na Waziri Mkuu wa India Narendra Modi.
Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi. Taarifa iliyotolewa na Gerson Msigwa, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, imesema, Modi amempigia...
View ArticleCCM Yatangaza ratiba ya mchakato wa kupata wagombea urais wa Jamhuri ya...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuanza rasmi kwa mchakato wa kutafuta wagombea katika kiti cha Urais, Wabunge, madiwani, wawakilishi na masheha huku kikiwaonya watia nia wote kutojihusisha na...
View ArticleTatizo la kuishiwa nguvu za kiume na maumbile kusinyaa limekuwa tatizo kwa...
Je umeachwa? Na mke /mume,mchumba na bado unampenda ? Kunamtu unamtaka unashindwa kumwambia? Wasiliana na mtalamu humuvuta mume, mke,mchumba na mtu yeyote unaye mtaka katika mahusiano na kumfanya...
View ArticleRatiba Kamili Ya Mchakato Wa Kuwapata Wagombea Wa Ccm Wa Nafasi Ya Rais Wa...
3.0. MAMBO YA KUZINGATIWA NA KILA MGOMBEA(i) Kila mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni lazima apate wadhamini 250 katika Mikoa 12 angalau Mikoa 2 kati ya hiyo iwe ya...
View ArticleBaadhi Ya Nchi Za Ulaya Zampongeza Rais Magufuli Katika Mapambano Ya Covid19
Baadhi ya Nchi za Ulaya zimeanza kutambua na kupongeza hatua ambazo Tanzania imezichukua katika kupambana na Virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID 19 kutokana na muongozo wa Rais Dkt John...
View ArticleWito Watolewa Wananchi Kuendelea Na Tiba Asili Kukabiliana Na Corona
Na WAMJW-DOMMganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi ametoa wito kwa wananchi kuendelea kutumia njia za tiba asili kujikinga dhidi ya ugonjwa wa corona na kudhibiti magonjwa mengineyo ya...
View ArticleMwakyembe Apongeza Wazalendo Wanaounga Mkono Juhudi za Rais Magufuli
Na Shamimu Nyaki –WHUSMWaziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe ametoa pongezi kwa Wazalendo wanaounga mkono juhudi za Dkt.John Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleMahakama Ya Katiba Burundi Yaagiza Rais Mteule Aapishwe Haraka Baada ya Kifo...
Mahakama ya kikatiba ya Burundi imeamua kuwa rais mteule Meja Jenerali mstaafu Evariste Ndayishimiye aapishwe urais mara moja na hakutakuwa na rais wa mpito..Katiba ya nchi hiyo inaeleza kuwa spika wa...
View ArticleRais Magufuli azungumza kwa simu na Rais Mteule wa Burundi Mhe. Evariste...
Rais Magufuli amezugumza kwa simu na Rais Mteule wa Burundi Evariste Ndayishimiye na kumpongeza kufuatia uamuzi wa mahakama ya Katiba kuagiza Rais huyo aapishwe haraka.Katika taarifa iliyotolewa leo...
View Article