Bajeti Kuu Ya Serikali Kusomwa Leo Bungeni
Macho na masikio yanatarajiwa kuelekezwa bungeni jijini Dodoma leo wakati serikali itakapowasilisha makadirio ya bajeti yake kwa mwaka ujao wa fedha.Mpango wa Maendeleo ya Taifa na ukomo wa bajeti ya...
View ArticleLIVE Toka Bungeni: Mkutano Wa 19 - Kikao Cha 43: Tarehe 11 June, 2020
LIVE Toka Bungeni: Mkutano Wa 19 - Kikao Cha 43: Tarehe 11 June, 2020
View ArticleSerikali Yazindua Mwongozo Wa Taifa Wauendeshaji Wa Shughuli Za Utalii Nchini...
Serikali imezindua rasmi mwongozo wa uendeshaji wa Shughuli za Utalii nchini Tanzania wakati huu wa janga la Corona na kuwataka wadau sekta hiyo kuzingatia matakwa yaliyo katika mwongozo huo ili...
View ArticleWafanyabiashara Dar Waelimishwa Kuhusu Kodi Ya Zuio
Na Veronica KazimotoMamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaelimisha wafanyabiashara wa maeneo ya Tabata jijini Dar es Salaam kuhusu Kodi ya Zuio na kutoa wito kwa wamiliki wa majengo, fremu na ardhi...
View ArticleTaarifa Ya Hali Ya Uchumi Wa Taifa Kwa Mwaka 2019 Na Mpango Wa Maendeleo Wa...
UTANGULIZI1. Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu lipokee na kujadili Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2019 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka...
View ArticleTaarifa Kwa Umma Toka Jeshi La Polisi Mkoa wa Mbeya
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limefanikiwa kuwaua majambazi wawili na kufanikiwa kukamata silaha bunduki moja iliyotengenezwa kienyeji inayotumia risasi za Shotgun.Ni kwamba mnamo tarehe 09.06.2020...
View ArticleWatu 8 Wafariki Kwa Ajali Ya Lori, Hiace na Trekta Jijini Mwanza
Watu nane wamefariki dunia na wengine watano wamejeruhiwa baada ya lori kugonga trekta na baadae kugongana na basi dogo aina ya hiace katika eneo la Ihayabuyaga kata ya Bukandwe wilaya ya Magu mkoani...
View ArticleRais Magufuli Amsamehe aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na...
Rais wa Tanzania, Dkt Magufuli ametangaza kumsamehe aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye baada ya kiongozi huyo kumuomba msamaha mara kadhaa.Rais ametangaza...
View ArticleIMF Yaisamehe Tanzania Deni la Mabilioni Ya Pesa
Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) imeidhinisha msamaha wa madeni ya Serikali ya Tanzania wa Dola za Marekani 14.3 milioni inayodaiwa na shirika hilo ili zisadie katika...
View ArticleUkuaji wa pato halisi la Taifa kupungua na kufikia asilimia 5.5
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango amesema kuwa ukuaji wa pato halisi la Taifa unatarajiwa kupungua kutoka maoteo ya awali ya asilimia 6.9 na kufikia asilimia 5.5 mwaka 2020 ikilinganishwa...
View ArticleLIVE: Bajeti Kuu Ya Serikali Inasomwa Muda Huu Bungeni
LIVE: Bajeti Kuu Ya Serikali Inasomwa Muda Huu Bungeni
View ArticleTeknolojia ya kidijitali inavyoleta mapinduzi ya kiuchumi Tanzania
Teknolojia ya kidijitali inavyoleta mapinduzi ya kiuchumi TanzaniaKatika miaka ya karibuni ukuaji wa teknolojia ya kidijitali umezipa nchi nyingi faida mbalimbali za kibunifu ambazo zinazochochea...
View ArticleSerikali Kuwashika Mkono Wataalamu Wa Tiba Asili Nchini
Na. Majid Abdulkarim, DodomaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametoa maelekezo kwa Wizara ya Afya kuwa kitengo cha dawa asili kiendelezwe kwa nguvu zote na bajeti...
View ArticleTAKUKURU Yaanza Rasmi kuwahoji Wabunge 69 Wa CHADEMA
Na Faustine Gimu Galafoni,DodomaTaasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini TAKUKURU imeanza rasmi kuwahoji Wabunge 69 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jijini Dodoma ambapo...
View ArticleHuduma za Afya Zaboreshwa Bunda na Kuondoa Kero kwa Wananchi
Jonas Kamaleki, BundaUtoaji wa huduma za Afya umeboreshwa baada ya Serikali kutoa milioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya Bunda, mkoani Mara. Baadhi ya wakazi wa Bunda wameipongeza Serikali...
View ArticleWakulima 39 Wapatiwa Ruzuku Ya Pembejeo Za Kilimo Kahama.
SALVATORY NTANDUKatika jitihada za kuhakikisha sekta ya kilimo inakua na wakulima wananufaika, Halmashauri ya Mji wa Kahama mkoani Shinyanga imetoa ruzuku ya pembejeo bure zenye thamani ya shilingi...
View Article