Viwanja Vinauzwa Bei nafuu: Bunju na Mapinga
Viwanja Bei nafuu: Bunju na Mapinga Kwa Mapinga; viwanja vipo (Mji mpya) karibu na Kimere resort, km 2 kutoka main road (Dar to Bagamoyo Road).Hapa vipo viwanja vya: 15/15 bei million 3,20/20 bei...
View ArticleSerikali Kurudisha Zao La Shahiri Na Kutatua Adha Katika Zao La Zabibu
Na. Majid Abdulkarim, DodomaSerikali imekutana na wadau wa zao la shahiri na zabibu kwa lengo la kurejesha zao la shahiri na kutatua changamoto zilizopo katika sekta ndogo ya Zabibu ili kuweza kukuza...
View ArticleHalmashauri Zatakiwa Kuwa Na Operesheni Maalum Ya Upimaji Ardhi
Na Munir Shemweta, WANMM TARIMENaibu Waziri wa Ardhi nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ameziagiza halmashauri nchini kufanya operesheni maalum ya kupima na kumilikisha ardhi ili...
View ArticleNyavu Haram 110, kokoro 2 na timber 32 Zakamatwa Na Kuteketezwa Wilayani Busega
Jumla ya Nyavu 110, kokoro 2 na timber 32 zilizokuwa zinatumika katika uvuvi haram zimekamatwa na kuteketezwa na Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Busega. Vifaa hivyo vimekamatwa...
View ArticleWanunuzi Wa Kahawa Marufuku Kununua Kahawa Usiku
Na: Allawi KaboyoMkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco E. Gaguti azindua rasmi msimu wa Kahawa wa mwaka 2020/2021 ikiwa ni pamoja na kutangaza bei ya malipo ya awali shilingi 1200 kila kilo...
View ArticleDkt. Abbasi: Watakaoshindwa Kufuata Mwongozo Afya Michezoni Watachukuliwa...
Na Kelvin Kanje, MwanzaKatibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi, tarehe 9 Juni, 2020, ameendelea na ziara ya kukagua, pamoja na...
View ArticleTAKUKURU Makao Makuu Kuwahoji Wabunge 69 wa CHADEMA Kuhusu Matumizi Ya Fedha...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanzania, inatarajia kuwahoji wabunge 69 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuhusu tuhuma za matumizi mabaya ya fedha, Taarifa...
View ArticleMbunge wa Nkasi CCM, Ally Kessy Ataka Rais Magufuli Aongezewe Muda....Spika...
Mbunge wa Nkasi CCM, Ally Kessy ameliomba Bunge kumuongezea muda wa kutawala Rais John Magufuli hata kama yeye Rais hataki kwa kubadili Ibara inayoweka kikomo cha kipindi cha urais.Akijibu hoja hiyo,...
View ArticleAzimio La Kumpongeza Rais Magufuli Kwa Mapambano Dhidi ya Corona Lapita Kwa...
Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma.Bunge limefanya azimio La Kumpongeza Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Kwa Namna Alivyoliongoza Taifa Katika...
View ArticleNaibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel Ateta Na Madereva Wa Malori, Namanga
Na WAMJW- Arusha.Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amefanya ziara katika mpaka wa Tanzania na Kenya Namanga Jijini Arusha na kuzungumza na madereva wa...
View ArticleSerikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) inatekeleza haki za binadamu kwa kutoa...
Na.Mwandishi Wetu-MAELEZORais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Serikali inatekekeleza utawala bora kwa wananchi kwa kuwapatia huduma za jamii...
View ArticleMwenyekiti Wa CCM Rais Magufuli Aongoza Kikao Cha Kamati Kuu Ya Halmashauri...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 10 Juni...
View ArticleKutana na Mtabibu wa Nyota Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH
Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH mjukuu wa chiffu segere Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili ya Africa Mwenye UWEZO Kubaini tatizo lako Pindi tu Utakapo fanya mawasiliano...
View ArticleRiwaya Kali ya Kusisimua....SIN- Sehemu Ya 15
Mwandishi- EDDAZARIA G.MSULWAAge-18+Simu-0657072588(whatsapp) au 0768516188ILIPOISHIA“Ila sijui kwa nini aliye wapa kazi hakuhitaji kunia kwa kutumia watekaji wake. Ila nina hisi ana hitaji siku moja...
View ArticlePICHA: Spika Ndugai Awasili Hospitali Kumjulia Hali Freeman Mbowe
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amefika Hospitalini Dodoma kumjulia hali Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe aliyelazwa hapo baada ya kushambuliwa usiku wa kumkia leo na...
View ArticleJinsi Ya Kuandika CV Nzuri Ambayo Itamvutia Mwajiri na Kukufanya Upate KAZI...
WATU wengi nchini wamekosa ajira kwa sababu ya makosa wanayoyafanya wakati wa kuandika CV zao.Kumbuka, makampuni karibia yote yanayotangaza nafasi za kazi hupokea wastani wa maombi 200-500 ya kazi...
View ArticleUfugaji wa nguruwe : Gharama na Faida Zake
UtanguliziNguruwe ni mnyama amabaye hutumika kama chakula / mboga na pia ni zao la biashara kwa mfugaji, mjasirimali na mfanyabiashara. NGURUWE HUTEGEMEA SANA MAMBO YAFATAYO1 . Banda imara na rafiki...
View Article