Serikali yaagiza Chuo cha Diplomasia kuongeza tafiti, machapisho
Serikali imekiagiza Chuo cha Diplomasia kujikita kuongeza tafiti pamoja na machapisho mbalimbali kwa lengo la kuwawezesha wahitimu wa chuo hicho kutoa mchango wao katika Taifa hususani wakati huu wa...
View ArticleAjali Ya Gari Kugonga Gari Na Kisha Kugonga Bajaji na Kusababisha Kifo Na...
AJALI YA GARI KUGONGA GARI NA KISHA KUGONGA BAJAJI KUSABABISHA KIFO NA MAJERUHI.Mnamo tarehe 08.06.2020 majira ya saa 10:00 Asubuhi huko eneo la Nzovwe, Kata ya Itende, Tarafa ya Iyunga, Jijini Mbeya...
View ArticleMaswali 15 Yanayoulizwa Mara kwa Mara Kwenye Usaili ( Interviews ) na Namna...
Usaili wa ajira (interviews) husababisha hofu na msongo wa mawazo kwa vijana wengi kabla au baada ya kutoka chumba cha usaili.Tatizo hilo hutokana na hofu inayojenga wakati wa kujibu maswali...
View ArticleFreeman Mbowe Ashambuliwa na Kujeruhiwa na Watu Wasiojulikana
Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe amejeruhiwa baada ya kuvamiwa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo Dodoma.Taarifa rasmi za...
View ArticleKorea Kaskazini kusitisha mawasiliano yote na Korea Kusini
Korea Kaskazini imesema itasitisha njia zote za mawasiliano na Korea Kusini wakati ikiendeleza shinikizo dhidi ya jirani yake kwa kushindwa kuwazuia wanaharakati kusambaza mpakani vipeperushi vya...
View ArticleTaarifa za Awali za Jeshi La Polisi Kuhusu Kuvamiwa na Kujeruhiwa Freeman Mbowe
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto, amesema kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe, amevamiwa na watu watatu waliomkanyaga na kumvunja mguu wake wa...
View ArticleNaibu Waziri Mabula Akerwa Mshauri Elekezi Kukwamisha Mradi Hospitali Ya...
Na Munir Shemweta, WANMM MUSOMANaibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amesikitishwa na hatua ya kusimamisha ujenzi wa miundombinu kwenye mradi wa kimkakati wa Hospitali...
View ArticleKatibu Mkuu Kusaya Hajaridhishwa Na Ujenzi Wa Vihenge Shinyanga.
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Kusaya leo (08.06.2020) amefanya ziara ya kushtukiza kwenye eneo la ujenzi wa vihenge vya kisasa (silos) mjini Shinyanga na kuelezea kutoridhishwa na kasi ya ujenzi...
View ArticleMfumuko Wa Bei Wa Taifa Wapungua Hadi Asilimia 3.2% Kutoka Asilimia 3.3%
Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma.Mfumuko wa bei wa Taifa kwa mwaka ulioishia mwezi Mei umepungua hadi asilimia 3.2 kutoka asilimia 3.3 kwa mwaka ulioishia mwezi Aprili 2020. Hayo yamesemwa jijini...
View ArticlePICHA: Naibu Spika Dkt Tulia Ackson Akiwasili Hospitali Kumjulia Hali Freeman...
Naibu Spika, Dkt Tulia Ackson akiwasili katika Hospitali ya DCMC Ntyuka kumjulia hali M/Kiti wa Chadema na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe aliyelazwa katika hospitali hiyo akipatiwa...
View ArticlePICHA: Spika Ndugai Awasili Hospitali Kumjulia Hali Freeman Mbowe
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amefika Hospitalini Dodoma kumjulia hali Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe aliyelazwa hapo baada ya kushambuliwa usiku wa kumkia leo na...
View ArticlePICHA: Freeman Mbowe Akiwa Amelazwa Baada Ya Kushambuliwa na Kuvunjwa Mguu...
Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akiwa amelazwa katika hospitali ya DCMCT Ntyuka mkoani Dodoma kwa matibabu baada ya kushambuliwa...
View ArticleWaziri Mkuu Kassim Majaliwa Amjulia Hali Freeman Mbowe
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Juni 9, 2020 amemtembelea na kumjulia hali Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe ambaye amelazwa katika hospitali ya Ntyuka jijini Dodoma kwa...
View ArticleWaziri Hasunga Atangaza Mifumo Mitatu Uuzaji Wa Kahawa, Wanunuzi Binafsi Ruksa
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-SongweIli kukabiliana na changamoto ya uuzaji wa mazao mbalimbali ya wakulima nchini katika kipindi hiki cha Ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na Virusi vya...
View ArticleWafanyabiashara Waishukuru TR Kwa Kuwaelimisha Masuala Ya Kodi
Na Veronica KazimotoWafanyabiashara wa Tabata jijini Dar es Salaam wameishukuru Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kuwaelimisha masuala mbalimbali yanayohusu kodi na kusema kuwa, elimu hiyo...
View ArticleFreeman Mbowe Ahamishiwa Dar Es Salaam Kwa Ajili Ya Matibabu Zaidi
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amewahamishiwa jijini Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu zaidi baada ya kushambuliwa usiku wa kuamkia leo jijini...
View ArticleBREAKING NEWS: Rais wa Burundi aliyemaliza muda wake, Pierre Nkurunziza...
Aliyekua Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza amefariki dunia kwa mshtuko wa Moyo Serikali ya Burundi imetangaza hayo leo kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter.Ujumbe kwenye ukurasa huo umeeleza kuwa...
View ArticleUgonjwa Wa Corona Unaelekea Kuisha Nchini-Waziri Ummy
Na WAJMW-DOMWaziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amesema ugonjwa wa Corona unaelekea kuisha nchini ambapo mikoa zaidi ya 15 haijaripoti mgonjwa yeyote wa Corona...
View ArticleTumefanya Maboresho Kwenye App Yetu ya Mpekuzi Ili Kukuwezesha Kupata Habari...
Tumefanya maboresho katika App yetu ya MPEKUZI ili kuendana na changamoto ya sasa ya janga la Corona inayoikumba dunia NzimaUsikubali kupitwa na taarifa muhimu zinazoendelea hapa nchini na Duniani kwa...
View Article