Waziri Simbachawene Asema Mitambo Mipya Nida Kuanza Kufanya Kazi Hivi Karibuni
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema mitambo mipya ya uzalishaji wa vitambulisho vya taifa itaanza kufanya kazi hivi karibuni baada ya wataalamu kuwasili nchini.Mitambo hiyo ya...
View ArticleWaziri Biteko ataka mchango sekta ya madini kutazamwa vinginevyo
Na Nuru Mwasampeta, WMWAZIRI wa Madini, Doto Biteko amewataka Watanzania kuutazama mchango wa sekta ya madini kwa namna unavyosaidia kuinua sekta nyingine za uchumi, kwani tayari kwa upande wa...
View ArticleKaliua Yatoa Mikopo Ya Milioni 332 Kwa Vikundi
NA TIGANYA VINCENTHALMASHAURI ya Wilaya ya Kaliua imetoa mikopo ya shilingi milioni 332 kwa vikundi mbalimbali ikiwa ni sehemu ya asilimia 10 ya mapato yake ya ndani.Mikopo hiyo imekabidhiwa jana na...
View ArticleTaarifa Kwa Umma Toka Kurugenzi Ya Mawasiliano Ya Rais IKULU
Rais Dkt.Magufuli amewashukuru Viongozi wa Dini na Watanzania wote kwa kuitikia wito wa kumuomba mwenyezi Mungu aepushe Corona.Ametoa shukrani hizo katika Misa takatifu kwenye Kanisa Katoliki Parokia...
View ArticleSerikali Haitopanga Bei Ya Zao La Pamba Msimu 2020 - Waziri Hasunga
Serikali imesema haitopanga bei ya zao la pamba ya wakulima katika msimu wa mwaka 2020 unaotarajia kuanza mwezi huu ili kuwezesha soko kuamua na mkulima kupata soko la uhakika.Kauli hiyo ya serikali...
View ArticleWaziri Mhagama Apongeza Mafanikio Yaliyofikiwa Katika Ujenzi Kiwanda Cha...
Na; Mwandishi Wetu, MoshiWaziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama ametoa pongenzi kwa Jeshi la Magereza na Mfuko wa...
View ArticleWagonjwa wa Corona Nchini Kenya Wafika 2767 baada ya Wengine 167 Kuongezeka Leo
Idadi ya wagonjwa wa virusi vya corona nchini Kenya imeongezeka hadi 2,767 baada ya wagonjwa wengine 167 kupatikana na virusi hivyo kutoka sampuli 2,833 zilizofanyiwa vipimo.Akitoa taarifa za kila siku...
View ArticleYanga Yapigwa Bao 3- 0 Na KMC
Dakika 90 za mechi ya kirafiki kati ya Yanga na KMC Uwanja wa Uhuru zimekamilika kwa Yanga kukubali kichapo cha mabao 3-0.KMC ilianza kuandika bao la kwanza kupitia kwa Sadala Lipangile dakika ya 31...
View ArticleTumefanya Maboresho Kwenye App Yetu ya Mpekuzi Ili Kukuwezesha Kupata Habari...
Tumefanya maboresho katika App yetu ya MPEKUZI ili kuendana na changamoto ya sasa ya janga la Corona inayoikumba dunia NzimaUsikubali kupitwa na taarifa muhimu zinazoendelea hapa nchini na Duniani kwa...
View ArticleNafasi Mbalimbali za Kazi Zilizotangazwa Wiki Hii
1. Tangazo la Nafasi za Kazi ya Dereva wa Mitambo-Geita2.OFFICE ASSISTANT II at TRA – 4 POST 3.Space Planning Officer at TCRA/ITU 4.IT Administrator at TCRA/ITU 5.Contract Manager at TiGO 6....
View ArticleSerikali Yaanza Rasmi Biashara Ya Kuuza Mafuta Nchini.....Dkt. Kalemani...
Na Zuena Msuya, MaraWaziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amezindua rasmi biashara ya kuuza na kusambaza mafuta nchini kwa kufungua kituo cha kwanza kuuza mafuta ya Petroli na Dizeli cha Serikali...
View ArticleMkuu wa Mkoa wa Mara Adam Malima Aipongeza Halmashauri Ya Bunda Kwa Hati Safi
Na. Immaculate Makilika- MAELEZOMkuu wa Mkoa wa Mara ameipongeza Halmashauri ya Mji wa Bunda kwa kupata hati safi kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia mwaka wa fedha 2016/2017.Akizungumza hivi karibuni...
View ArticleIdara ya polisi mjini Minneapolis yavunjwa kufuatia kifo cha Floyd
Idara ya polisi mjini Minneapolis katika jimbo la Minnesota nchini Marekani itafanyiwa mabadiliko makubwa kutokana na kifo cha Mmarekani mweusi George Floyd. Halmashauri ya jiji hilo imekubaliana...
View ArticleRiwaya Kali ya Kusisimua....SIN- Sehemu Ya 14
Mwandishi- EDDAZARIA G.MSULWAAge-18+Simu-0657072588(whatsapp) au 0768516188ILIPOISHIA Kelele za furaha zinazo sikika sebuleni zikamfaya mrs Sanga kukurupuka ndani kwake na kukimbilia sebeeni. Mapigo...
View ArticleBrazil kutotangaza waliofariki kwa corona, Yatishia Kujitoa katika Shirika la...
Serikali ya Brazil imetangaza kuanzia sasa haitakuwa ikitangaza idadi ya watu waliofariki kwa corona, baada ya kubaini kuwa hatua hiyo haina faida kwa nchi hiyo.Brazil ni nchi inayoongoza hivi sasa...
View ArticleTundu Lissu atangaza nia ya kugombea Urais 2020
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu leo amezungumza kwa Mubashara kupitia ukurasa wake wa Facebook akiwa ughaibuni na kutangaza nia ya kugombea Urais nchini...
View ArticleWaziri Simbachawene Awasweka Ndani Viongozi Wa Kijiji, Mafundi Bomba Ruwasa
Na Mwandishi Wetu, Kibakwe,WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amewaagiza Polisi kumkamata Mwenyekiti, Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Chogola, Jimbo la Kibakwe na Mafundi Bomba wawili...
View ArticleWaziri Wa Elimu Prof. Joyce Ndalichako Azindua Bodi Mpya Ya VETA
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mh. Prof. Joyce Ndalichako, ameiagiza Bodi mpya ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi kuhakikisha mafunzo ya ufundi stadi yanawafikia Watanzania wengi zaidi ili...
View Article