Dakika 90 za mechi ya kirafiki kati ya Yanga na KMC Uwanja wa Uhuru zimekamilika kwa Yanga kukubali kichapo cha mabao 3-0.
KMC ilianza kuandika bao la kwanza kupitia kwa Sadala Lipangile dakika ya 31 kwa pasi ya Charlse Ilanfya na bao la pili likapachikwa na Ilanfya kwa pasi ya Emmanuel Mvuyekule
Bao la tatu lilifungwa na Hassan Kabunda dakika ya 65 kwa mpira wa adhabu.