Kanuni bora za ufugaji wa kuku wa kienyeji(kuku Asili)....Soma Hapa Uwe Tajiri
Ufugaji wa kuku wa asili ni nyenzo muhimu katika kupambana na wimbi la umasikini kwa kuongeza kipato cha kaya. Hata hivyo, pamoja na soko la uhakika, bado ufugaji kuku haujaweza kutumika ipasavyo...
View ArticleMaswali 15 Yanayoulizwa Mara kwa Mara Kwenye Usaili ( Interviews ) na Namna...
Usaili wa ajira (interviews) husababisha hofu na msongo wa mawazo kwa vijana wengi kabla au baada ya kutoka chumba cha usaili.Tatizo hilo hutokana na hofu inayojenga wakati wa kujibu maswali...
View ArticleWagonjwa wa Corona Kenya Wafika 2474 baada ya Wengine 134 Kuongezeka
Katibu wa Wizara ya Afya Mercy Mwangangi ametangaza Ijumaa kuwa idadi ya waliothibitishwa kuambukizwa ugonjwa wa Covid-19 nchini Kenya imeongezeka na kufikia 2,474.Akitoa taarifa ya kila ya siku kutoka...
View ArticleUbora wa Mazingira yetu ndio Uhai na Ustawi Wetu - Zungu
Na Lulu MussaDodomaWaziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mussa Azzan Zungu amesema suala la mabadiliko ya tabianchi halitambui mipaka ya kijiografia wala ya kisiasa, hivyo, juhudi za kukabiliana...
View ArticleMarekani na Iran wabadilishana wafungwa
Iran na Marekani wamebadilishana wafungwa kwa mara nyingine licha ya mvutano mkubwa kati ya nchi hizo mbili hasimu, ishara kwamba mataifa hayo mawili yanaweza kufikia maelewano ya kudumu.Michael White,...
View ArticleAliyekuwa bosi wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD) ashtakiwa kwa Makosa Matano...
Waliokuwa vigogo wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD) nchini Tanzania jana wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam na kusomewa mashtaka matano yanayowakabili katika Namba 46 ya...
View ArticleNchi Za Nordic Zaahidi Kuendeleza, Kuimarisha Uhusiano Wake Na Tanzania
Nchi za NORDIC ambazo ni Norway, Sweden, Finland na Dernmark zimeahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania na kuhakikisha kuwa Tanzania inasonga mbele katika maendeleo yake kijamii, kisiasa na...
View ArticleRC Gaguti Atoa Siku 7 Kurejeshwa Kwa Shilingi Milioni 224.
Na Allawi Kaboyo.Mkuu wa Mkoa Kagera Brigedia Generali Marco Gaguti ametoa siku 7 kwa watumishi wa halmashauri ya wilaya Biharamulo waliokusanya fedha na kushindwa kuzipeleka Banki wawe wamezipeleka...
View ArticleMaonesho Ya 44 Kimataifa Ya Biashara Ya Dar Es Salaam (44th DITF) Kuanzia...
Wizara ya Viwanda na Biashara kupitia Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) inapenda kuwataarifu Taasisi za Umma, Sekta Binafsi, Jumuiya za Wafanyabiashara na Wananchi wote kwa ujumla...
View ArticleFisi Watajwa kuhararisha Maisha Ya Wanawake Wanaokwenda Kuchota Maji
SALVATORY NTANDUUkosefu wa huduma ya Maji safi na Salama kwa Wakazi kata ya Ngogwa katika Halmashauri ya Mji wa Kahama mkoani Shinyanga umetajwa kuhatarisha Maisha ya wanawake kutokana na baadhi yao...
View ArticleShule Zote Na Vyuo Vikuu Nchini Kenya Kuendelea Kufungwa Hadi Mwezi Wa Tisa...
Rais Uhuru Kenyatta ametangaza kuendelea kufungwa kwa shule na vyuo vikuu nchini Kenya hadi Septemba Mosi mwaka huu ambapo vitafunguliwa tena.Akilihutubia taifa kutoka ikulu ya rais jijini Nairobi...
View ArticleNaibu Waziri wa Afya Dkt. Mollel Aondoa Uongozi Wa Hospitali Ya Maunt Meru.
Na WAMJW- ARUSHANaibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel ameagiza kuondolewa kwa safi ya uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha Mount Meru...
View ArticleRais Magufuli amtumia salamu za pongezi Rais mpya wa Burundi
Rais Magufuli amempongeza Evariste Ndayishimiye kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Burundi katika uchaguzi uliofanyika Mei 20. 2020.Rais Magufuli ametoa pongezi hizo kupitia ukurasa wake wa Twitter, na...
View ArticleCHADEMA yajitosa kinyang'anyiro cha Urais Zanzibar, Watia Nia Wapewa Siku 10
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa upande wa Zanzibar kimetangaza kushiriki kugombea nafasi ya Urais wa Zanziabar katika uchaguzi mkuu utakaofanyika baadae mwaka huu.Akitangaza uamuzi huo...
View ArticleCHAUMMA Watangaza Kushiriki Uchaguzi Mkuu Utakaofanyika Octoba Mwaka Huu
Chama cha Upinzani cha CHAUMMA, kimetangaza rasmi kushiriki Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.Mwenyekiti wake, Hashim Rungwe Spunda amesema wanavikaribisha vyama vingine kuungana nao...
View ArticleUfaransa yapongeza mauaji ya kiongozi wa Al- Qaeda katika eneo la Afrika...
Ufaransa imepongeza mauaji ya kiongozi wa kundi la Al-Qaeda katika eneo la Afrika Kaskazini wakati wa operesheni dhidi ya kundi hilo linalofanya mashambulizi makali katika eneo la Sahel. Waziri wa...
View ArticleChama cha Wananchi - CUF Chatoa Tamko Kuhusu Mchakato wa Kura za Maoni za...
Chama cha Wananchi - CUF kimesema ratiba yao ya kura za maoni na uteuzi wa nafasi za udiwani, uwakilishi, ubunge na urais imeanza tangu mwezi Mei ambapo inatarajiwa kuhitimishwa tarehe Julai 27,...
View ArticleSpika wa Bunge la Marekani Nancy Pelosi Amlima Barua Nzito Rais Donald Trump...
Spika wa Bunge la Marekani maarufu kama ‘Congress’, Nancy Pelosi amemlima barua nzito Rais Donald Trump kwa kutaka atoe maelezo kuhusu ongezeko kubwa la matumizi ya majeshi dhidi ya raia wanaoandamana...
View Article